Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Mzee alijenga sana hii Nchi.Yule mzee ingawa sikumkubali kwenye maeneo kadhaa ila kwenye haya mambo nilimkubali sana
Ule uthubutu wa kuonyesha kuwa highways zinawezekana Tanzania ulikuwa unyama sana.Mzee alijenga sana hii Nchi.
Utataja barabara gani usitaje jina la JPM. Iwe alisimamia akiwa Waziri wa Ujenzi ama alijenga akiwa Rais wa Jamhuri.
Mzee apewe maua yake kwa kweli
👏👏JPM alijaribu kujenga kuanzia Kimara Mwisho hadi Kibaha.
Kila nikiwa natumia zile barabara hua naendelea kumkumbuka legendary
Yaani huwa napepea na speed 120 hadi 160km/hr.
Let the Man rest in peace, despite his bad side lakini kwenye hili the Oldman was good at 👏👏👏💪
Hawa wa miaka hii hawana maono.Ule uthubutu wa kuonyesha kuwa highways zinawezekana Tanzania ulikuwa unyama sana.
Hawa wa saivi wanaturudisha nyuma tena eti barabara mpya tena kubwa wanajenga njia mbili mbili. Ujinga kabisa
Wamekalia kula posho tu. Akili hawana kabisaHawa wa miaka hii hawana maono.
Wameshindwa hata kujenga toll roads walau kutupunguzia foleni hapa mjini.
Kumpata kiongozi wa vile itachukua miaka mingine mingi sana.
Mzee alipenda sana Ujenzi, hawa wenzie wanashindana kujaribu kufuta legacy yake
Wanajua kuiba tu na kutumia Kodi kununulia magari ya gharama.Ndo akili zenu zilipoishia kila siku kutafuta sababu kukwepa majukumu.
Ile barabara ya kibaha hadi kimara njia 6 imejengwa kwa mafuta yapi?
Ndio maana najiuliza hivi viongozi wetu mbona bongo_lala sana, shida ni nini hasa!?Ule uthubutu wa kuonyesha kuwa highways zinawezekana Tanzania ulikuwa unyama sana.
Hawa wa saivi wanaturudisha nyuma tena eti barabara mpya tena kubwa wanajenga njia mbili mbili. Ujinga kabisa
Dhahabu,almasi,Tanzanite, Rubi, Coal,Ng'ombe,Mbuzi,Samaki, mbuga za wanyama,Milima,Kahawa,Miti..................Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Acha tu ndugu yanguNdio maana najiuliza hivi viongozi wetu mbona bongo_lala sana, shida ni nini hasa!?
Wapo busy kutunisha mifuko yao binafsi na familia zao.Wamekalia kula posho tu. Akili hawana kabisa
Tuache utani kidogo,hivi hayo mawazo makubwa yatapatikana kwa kuwa na RC comedian kama Chalamila!!?Wameishia kula posho tu. Hata hawawazi mambo makubwa namna hiyo. Ni kufanya mambo bora liende tu
RC anatembelea VX ya milioni 500,dadeki!Nilitegemea hiki kisingizio kuibuka. Wakati huo viongozi wakiendelea kuiba Kwa mwavuli wa ccm. Wapuuzi sana.
Na kuagiza 10% kwa makandarasi wao uchwaraWapo busy kutunisha mifuko yao binafsi na familia zao.
Poor us
RC ana discuss migogoro ya wenye Bar na NEMC na anasema ukiona Dar foleni hamia Kijiji ambacho hakina foleni![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa wa miaka hii hawana maono.
Wameshindwa hata kujenga toll roads walau kutupunguzia foleni hapa mjini.
Kumpata kiongozi wa vile itachukua miaka mingine mingi sana.
Mzee alipenda sana Ujenzi, hawa wenzie wanashindana kujaribu kufuta legacy yake
Ndo akili zao zilipoishiaRC ana discuss migogoro ya wenye Bar na NEMC na anasema ukiona Dar foleni hamia Kijiji ambacho hakina foleni![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Wewe mwenyewe. Nyerere kafanya mazuri kwa wakati wake na waliofuata nao wakafanya kadri walivyoweza na sisi wenye macho ya kuona tulikotoka na tulipo tunaona maendeleo yako makubwaAlaumiwe CCM na Nyerere
MadiniAngola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Sasa nawe uache ubozongo maana barabara ya kuu bado zina road reserve kuruhusu upanuaji wa barabara hizoKwenu Wizara ya Ujenzi
Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola
Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar kama tupo karne ya 19 huko
Najua kwa somo hili hamtajenga hivyo vituko Mwenge- Kurasini na Bunju hadi PostaView attachment 2847820