Wizara ya Ujenzi. Hivi ndo barabara zinavyojengwa kwenye miji mikubwa ya Biashara

Tena walidiriki kusema hawata maendeleo ya vitu watu hawali lami [emoji23][emoji1787] Sasahivi wanatamani maendeleo ya jirani hawajui kuwa nao kuna watu waliumia ilikupata hayo maendeleo.
Watu wakishapata maendeleo miundombinu lazima iboreke kwasababu shughuli za kiuchumi zitakua na kuongezeka.kwahiyo inawezekana hiyo concempt hukuielewa.Kinachozungumziwa sio kujenga miundombinu ilimradi imejengwa bali kujenga miundombinu inayoendana na ukuaji wa hali za wananchi kiuchumi,kijamii,ikienda sambamba na mipango miji na mengine kama hayo.Ukichelewa kufanya hayo hata ujenzi wa hiyo miundombinu lazima uwe na changamoto nyingi zitakazochelewesha kufika malengo kusudiwa.
 
Ukisubiri watu wapate maendeleo ndipo ujenge miundombinu umechelewa pakubwa,ndio maana Magufuli alikuwa anawaambi tumechelewa sana inabidi tukimbie baada ya kutembea,hata Ulaya huko mnakosifia walianza na miundombinu (Maendeleo ya vitu)Sio watu ndio maana hata Mungu alianza kuweka vitu kabla ya mwanadamu.Mwanadamu alikuta vitu tiyari hakusubiri mwanadamu kwanza.
 
Tz bado hakuna idadi ya kutosha ya watu wenye akili nzuri ya kuweza kubuni au ku-design mambo mazuri kama haya.
Labda tusubiri hadi miaka 300 ijayo ipite.
 
Acha upumbavu, Botswana 🇧🇼 wana Diamonds 💎 na utalii tu,na wapo super, sisi tuna kila kitu na mbuga zetu za wanyama ni super, nchi imejaa wezi, mafisadi, greedy na uovu wa kishetani
Watu wanawaza kupata nafasi ili wale na wajijenge kiuchumi binafsi.

Kwa akili hizi kamwe huwezi kuwakuta wakiwaza kujenga kutengeneza miundombinu kisasa namna hii ili watatue kweli shida zilizopo kimiundombinu
 
Kwa Dar walishachemsha,hiyo ya Kimara-Kibaha peke yake mpk kuna watu wamepoteza maisha ili kuilazimisha...
Tuna watu kwenye nafasi za maamuzi ambao kiuhalisia hawastahili kuwepo kwenye hizo nafasi kutokana na kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubinafsi unaotisha
 
#Tunakambunizetuzakiupigaji
 
Tuna watu kwenye nafasi za maamuzi ambao kiuhalisia hawastahili kuwepo kwenye hizo nafasi kutokana na kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubinafsi unaotisha
"Changamoto kubwa iliyopo katika ulimwengu wa sasa ni kwamba, watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha ns Siasa, hivyo watu wasiokuwa na akili wamepewa mamlaka ya kuwatawala watu wenye akili na watu wasiokuwa na akili."
Donald Trump, aliyekuwa Rais wa 44 wa Marekani.
 
Watu wanawaza kupata nafasi ili wale na wajijenge kiuchumi binafsi.

Kwa akili hizi kamwe huwezi kuwakuta wakiwaza kujenga kutengeneza miundombinu kisasa namna hii ili watatue kweli shida zilizopo kimiundombinu
Hio ndio tafsiri ya tunataka maendeleo ya watu kwa Tanzania. Mtu yupo radhi mkoa mzima uteseke ili yeye pekeyake na genge la watu wake wachache waneemeke kwa wizi.
 
'Mkiona vinaelea vimeundwa' Hizi ndio faida za uwekezaji, kumbe vitu vizuri tunavipenda lakini mchakato wake ndio tunauchukia? UKITAKA KULA LAZIMA NA WEWE ULIWE alijisemea Kikwete. Sisi tumebaki kulinda ardhi, hata akija mtalii sisi jambo la kwanza kichwani tunajua anataka kuchukua ardhi yetu, sisi itakua tumerogwa na aliyeturoga alishajifia tangia 1999.
 
Hawa nadhani ni kama Kenya, hawakutaifisha mali za watu kienyeji!
 
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Gesi ipo na madini Tanznite tunayo sisi tu; ccm imeshindwa pahala, huu ni ukweli mchungu
 
Mkuu si huwa mnasema tuna raslimali nyingi hadi makaburu wanatuonea wivu? Au umejisahau kwenye ile propaganda yetu ya muda mrefu?
Unaweza kuwa na raslimali zote.. ila ukapungukiwa na akili.. baasi.. gozo raslimali ni kazi bure. Ndo kilichopo hapa Tz na maccm..
 
Tanzania inatia huruma Sana. Nilienda Mwanza nikashangaa JIJi kubwa lakini barabara ni shida Sana. Barabara ya kutokea mjini kwenda shinyanga ni moja tu na nyembamba.
 
Hayo ya Mungu ilipaswa iwe hivyo kwasababu ni mwanzo.Kujenga miundombinu ni rahis sana kwasababu tayari kodi zipo ila kujenga miundombinu bora zaidi lazima uwe na wananchi wengi wenye uchumi mzuri watakaolipa kodi zaidi.Mfano mdogo ni huu.magufuli angeanza na maboresho ya uchumi wa wananchi wa chato angalau wawe na kipato cha wastani leo kile kiwanja cha ndege matumizi yake yangekua angalau kwa asilimia 40 kwahiyo wananchi wangenufaika na serikal ingenufaika.Ila kwavile fedha zilizotumika ni kodi hatuoni hasara.
 
Tena walidiriki kusema hawata maendeleo ya vitu watu hawali lami 😂🤣 Sasahivi wanatamani maendeleo ya jirani hawajui kuwa nao kuna watu waliumia ilikupata hayo maendeleo.
Wanafikiri mambo kama hayo yanafanyika ndotoni.

Ni lazima kuwe na gharama katika kila jambo la thamani.
 
Mkuu si huwa mnasema tuna raslimali nyingi hadi makaburu wanatuonea wivu? Au umejisahau kwenye ile propaganda yetu ya muda mrefu?
Ni kweli mkuu na tulikuwa na mipango ya Tanzania kuwa a donor country kwa uwingi wa rasilimali tulizonazo. Tukatunga na hiyo sheria ya Natural Wealth ambayo cdm waliipinga sana lakini tukatumia nguvu ya wengi wape huko bungeni.

Bahati mbaya yakatokea yaliyotokea. Hizo rasilimali zetu siyo za kwetu tena. Umesikia hata hiyo SGR, bwawa la Nyerere, bandari nk tunatarajia kuwapa watu au kampuni binafsi tunaowaita wawekezaji. Hiyo gesi tayari tuliwapa wawekezaji kipindi cha awamu ya nne, siyo ya kwetu tena na hutubidi ili kuitumia tuinunue kwa bei mbaya kutoka kwa hao wawekezaji. Madini tulishawapa wawekezaji kipindi cha awamu ya tatu. Wakina Kitila Mkumbo hawana cha kufanya isipokuwa kutegemea tu tozo.
 
Mkuu, usisahau kuwa hata hizo barabara zilizopo zimejaa viraka kila kona, na ukarabati usioisha kila iitwayo leo.

Viongozi mda wote wapo matembezini Dubai.
 
Mbuzi Gitaa🐐🎸
 
Hii site no sawa sawa kabisa na water front , posta ya zamani kwenda wizara ya afya. Mwendokasi likipita Tu wote mnabaki mmebinukiana na kukanyagana. Shame on us
 
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Utopolo wewe! Sisi hatuna madini? Pesa yote hiyo inaishia wapi kama siyo kwenye matumbo ya watu? Eti linajiita Dr. Akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…