Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

Baada ya makelele kuwa mengi,wamebadilisha gia angani.

Sasa Kama mabehewa ya MGR yamenunuliwa kwa B 2.5 kwa kila behewa,hayo mabehewa ya SGR si watanunua B 100 kwa kila behewa!!?
umeniwai.ila sio kuniwa tu kwa akili ya kawaida lazima mtu atajiuliza ilo swali.

ntashangaa kama Bunge litashindwa kuhoji na kufatilia, iundwe tume yenye uwazi kuchunguza na kubaini ukweli wote kuhusu mabehewa haya ya MGR na hayo ya SGR ambayo bado hayaletwa.

Tanzania mpaka aibu,Loh,,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…