Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

MGR ni nini tena? Kuna hu msemo "If you can't convince them confuse them"......mtupe tofauti ya SGR na MGR tafadhari
The Standard Gauge Railway(SGR) has the ability to carry heavy loads by high speed as opposed to the current Meter gauge Railway (MGR). SGR uses electric locomotives and has the capacity to transport passengers and cargo shipments at more than 160 kilometers per hour.
 
Kwahiyo nauli ya meter gauge railway imepandisha kwasbb ya mabehewa mapya?
 
Dah...! hii Nchi ni fedheha kila uchwao.

Haina ubishi. Kuzaliwa Nchi hii ni laana na uzumbukuku si kwa watawala wala sie watawaliwa.
Tunapgwa mchana kweupeee tunaishia kubwajaja tu kwenye mitandao ya kijamii then kimyaa kisha wanahamishia mabilioni yao uswiz...!
 
UONGO MWIIIINGI KAMA SELIKALI YA JPM.

Asiye kubali KUSHINDWA si mshindani.
 
Sirikali inanunua na kupokea kitu isichokijua..juzi walisema hiyo ni awamu ya kwanza ya Mabehewa ya SGR but Leo wamechange gia na kusema ni Mabehewa ya mgr.. inamaana hawakuwa na taraifa sahihi
 
Mbona sasa kila sekta inaonekana kuchanganyikiwa akili? Kule nishati sarakasi na huku uchukuzi nako sarakasi. Kwanini wabunge wetu walipoanza kufanya sarakasi huko bungeni, mama spika aliwapiga marufuku? Kweli iko haja ya raisi kufanya mabadiliko.
 
Sirikali inanunua na kupokea kitu isichokijua..juzi walisema hiyo ni awamu ya kwanza ya Mabehewa ya SGR but Leo wamechange gia na kusema ni Mabehewa ya mgr.. inamaana hawakuwa na taraifa sahihi
Walinunua Seti mbili ya MGR na SGR, hopefully hawakutaka Watanzania wajue

Nadhani huu ni part ya huo mchongo..

Tanzania ikipata mtu Kama Magufuli, Kesi ya Kwanza ya Kadogosa, Mbarawa na Manaibu wake ni hii hapa, yaani huwezi ukafanya kosa kubwa usiache ushahidi
 
Screenshot_2022_1211_141209.jpg

Kutoka ukurasa wa wizara ya ujenzi hiyo ndiyo taarifa rasmi, kukiwepo na taarifa nyingine ni upotoshaji.

🚨 Moderator au Mhariri heading inatakiwa irekebishwe WITARA = WIZARA
 
Kelele zilizopigwa ndio zimewafanya wakabadilisha msimamo, wasitudanganye, zile behewa zilikuwa kwa ajili ya reli ya SGR.

Bora wafanye hivyo, kwasababu pale palionekana kuna upigaji wa wazi, na wahusika ilikuwa lazima wawajibishwe kisheria, sasa ngoja tuone hayo mabehewa mengine kama yataendana na ubora unaotegemewa.
 
Aya ndugu zangu watanzania twende kazi, baada ya kufungua zile nylon package na kuzitoa brand new carriage sasa kazi ni kazi na mwendo wa reli ya kati ahahaaaa...!
 
Back
Top Bottom