Behewa za SGR haiwezi tembea kwenye reli ya MGR sababu zenyewe ni pana sanaKelele zilizopigwa ndio zimewafanya wakabadilisha msimamo, wasitudanganye, zile behewa zilikuwa kwa ajili ya reli ya SGR.
Bora wafanye hivyo, kwasababu pale palionekana kuna upigaji wa wazi, na wahusika ilikuwa lazima wawajibishwe kisheria, sasa ngoja tuone hayo mabehewa mengine kama yataendana na ubora unaotegemewa.