Halafu kuna mabehewa mapya yanayotengeneza treni ya Deluxe. Hapa pana uhuni unafanyika.Ufisadi tayari. Kulikuwa na haja gani ya kununua mabehewa mapya ya MGR, wakati tupo kwenye transformation ya kwenda SGR?
Hapo sasa ndo inashangza c bora wangenuna ya SGR hata ma 5 tu basi kuliko kuleta mibeheea ya MGR...Ufisadi tayari. Kulikuwa na haja gani ya kununua mabehewa mapya ya MGR, wakati tupo kwenye transformation ya kwenda SGR?
MGR ni nini tena? Kuna hu msemo "If you can't convince them confuse them"......mtupe tofauti ya SGR na MGR tafadhari
Hilo nalo ni neno mkuu, haiwezekani unajenga majengo kwa ajili ya kuanzisha skuli, unakamilisha kila kitu na kuanza kuutangazia umma usajili wa awali mara paaap unaambia umma haya majengo ni kwa ajili ya mifugo (kuku)Kelele zilizopigwa ndio zimewafanya wakabadilisha msimamo, wasitudanganye, zile behewa zilikuwa kwa ajili ya reli ya SGR.
Bora wafanye hivyo, kwasababu pale palionekana kuna upigaji wa wazi, na wahusika ilikuwa lazima wawajibishwe kisheria, sasa ngoja tuone hayo mabehewa mengine kama yataendana na ubora unaotegemewa.
Hilo la kwanza, la pili ni swali: inamaana viongozi wote wakuu wa Serikali kuanzia Rais, Waziri mkuu pamoja na Mkurugenzi Kadogosa waliamuaje kuudanganya umma kuwa mabehewa hayo ni ya Sgr au wote hawa hawakuwa na taarifa sahihi kuyahusu mabehewa hayo?Ufisadi tayari. Kulikuwa na haja gani ya kununua mabehewa mapya ya MGR, wakati tupo kwenye transformation ya kwenda SGR?
Hapana, hayo ya MGR itakuwa wametupa bashishi (zawadi). Tatizo wametupa by surprise, Kadogosa na Mbarawa wakafikiria ni yale ya SGR waliyoagiza na kuanzakufanya sarakasi kuyatetea. Wakorea noma sana. Wakatuletea na mkopo wa trillion tatu yenye grace period ya miaka 15. Yaani ni kama wametukopesha tu hayo mabehewa ya SGR.Walinunua Seti mbili ya MGR na SGR, hopefully hawakutaka Watanzania wajue
Nadhani huu ni part ya huo mchongo..
Tanzania ikipata mtu Kama Magufuli, Kesi ya Kwanza ya Kadogosa, Mbarawa na Manaibu wake ni hii hapa, yaani huwezi ukafanya kosa kubwa usiache ushahidi
Jamaa wako moto sana kwenye kuongeza 0Baada ya makelele kuwa mengi,wamebadilisha gia angani.
Sasa Kama mabehewa ya MGR yamenunuliwa kwa B 2.5 kwa kila behewa,hayo mabehewa ya SGR si watanunua B 100 kwa kila behewa!!?
Wanatuchanganya. MGR=Meter Gauge Railwal ya kizamani. Hiyo nyingine unaijua.MGR ni nini tena? Kuna hu msemo "If you can't convince them confuse them"......mtupe tofauti ya SGR na MGR tafadhari
Na bado, hizi ni chenga za toto Tundu au kaboka mchizi?Songombingo za Kaboka mchizi zinaendelea.
Hayo Mabehewa watuletee huku Moshi Msimu huu wa sikukuu
Asieamini kuwa kuna uhuni CCM na serikali huyo atakuwa na matatizo ya akili.Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
Mbona sasa kila sekta inaonekana kuchanganyikiwa akili? Kule nishati sarakasi na huku uchukuzi nako sarakasi. Kwanini wabunge wetu walipoanza kufanya sarakasi huko bungeni, mama spika aliwapiga marufuku? Kweli iko haja ya raisi kufanya mabadiliko.
Dar -Dom 70k?
Kama ndiyo ile treni inayotrend itatumika, basi ni afadhali mara 1000 upande basi maana ni elfu 20-25 tuu na masaa kati ya 7-9.Dar -Dom 70k?
Nisaidieni Dar- Dom kwa basi ni bei gani, na muda wa safari saa ngapi kulinganisha na treni?
Hii nchi ilishawai kuokota hadi vichwa vya tren bandarin na hakina kilichotokea kwahiyo mambo mengine usishangae.Tunaposema hii nchi watu imewashinda ndo kama hivyo sasa.Mauza uza kila kona.Hilo la kwanza, la pili ni swali: inamaana viongozi wote wakuu wa Serikali kuanzia Rais, Waziri mkuu pamoja na Mkurugenzi Kadogosa waliamuaje kuudanganya umma kuwa mabehewa hayo ni ya Sgr au wote hawa hawakuwa na taarifa sahihi kuyahusu mabehewa hayo?
Je yaweza kuwa sahihi viongozi kudanganya na likitokea jambo kama hilo lenye kuleta mkamganyiko na mtafaruku mkubwa kiasi hiki, linaachwa tu lipite hivi hivi au kuna mtu wa kulaumiwa hapo?
Muhh, ituingie mara ngapi?Serikali sasa haiko chini ya washamba kama iliyopita. Sasa iko chini ya watoto wa mjini. Waerevu. Kwa hiyo mtulie tu sindano iwaingie.
Kisima CAPO DELGADO Semahengere