Behewa za SGR haiwezi tembea kwenye reli ya MGR sababu zenyewe ni pana sanaKelele zilizopigwa ndio zimewafanya wakabadilisha msimamo, wasitudanganye, zile behewa zilikuwa kwa ajili ya reli ya SGR.
Bora wafanye hivyo, kwasababu pale palionekana kuna upigaji wa wazi, na wahusika ilikuwa lazima wawajibishwe kisheria, sasa ngoja tuone hayo mabehewa mengine kama yataendana na ubora unaotegemewa.
Wamiliki wa mabasi na maloriMaana yake ni kwamba hata SGR imeuliwa rasmi kama vile Nyerere Dam, kwa kifupi hakuna SGR tena na mradi umeshasimamishwa, go figure!
Wamiliki wa mabasi na malori
Hawapendi kusikia kitu kinaitwa
Sgr,mgr,zzr ,kkr
Ova
Wizara ya ujenzi nayo ni kimeo kingene.Hii ya mabehewa wanastahili wawajibishwe. Uongo walioutunga ni wa GPA ya first class inayostahili mtu awe professor. Umegoma, wanabadilisha tena statements
Hata sijui hawa jamaa wanalalamika nini sasa.ππSerikali sasa haiko chini ya washamba kama iliyopita. Sasa iko chini ya watoto wa mjini. Waerevu. Kwa hiyo mtulie tu sindano iwaingie.
Kisima CAPO DELGADO Semahengere
Hata sijui hawa jamaa wanalalamika nini sasa.ππ
Huyu jamaa sijui hii nafasi aliipataje, anavuja kinyama.Gerson Msigwa yupo ana zurura na Nape mt. Kilimanjaro. Akitoka huko ana kuja kupanua mdomo ni ya SGR seat za Kisasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
R.C. mmoja Dar. analojibu lake.Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.