Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida western propaganda ziliwa brain washIran nilikuwa naichukulia poa sana, kumbe nilipotea
Facts na ndio maana kuichapa Iran wanawaza sana wanajua kitakachofuata Iran akili kubwa ona sasa kwake amani ipo israhell kwao wanakufa tu wakiwemo idf Iran akili kubwa sanaaaNi kwa sababu ya media za magharibi wanafanya juhudi sana kuidogosha isisikike duniani...
Lakini ogopa nchi middle east ina proxies halafu ina wadhamini kifedha na silaha, hio ni akili kubwa sana, kabla hujamgusa Iran unakabiliana na proxies wake kwanza... kipindi hiko ana sanctions toka 1970s..
Ni strategy ya akili sana na ndicho kinamsumbua Israel...
Kwa middle east Iran ni regional power, wapo mbali sana... ni watu hawasemi ukweli..
Anaweza akaja jamaa tokea nimwambie alete picha za satellite za shambulizi la Israhell kwa Iran naona katokomea ila hope itakua majukumuMkuu T14 Armata hata kwa dawa hawezi kuchangia kwenye hii mada.
raha sana kusikia hivi vitu japo wenyewe wanajikausha hawataki tujue kama wao ni viazi tuNa pindi ichoicho cha Obama walikutana na kizazaa cha ile Vess bot yao y kijesh ya jesh la marekani iliingia ktk maji ya Iran vess inakilakitu wajeda kibao mitutu kila aina sijui walitaka kufanya nini wale wajeda. Lkn ile Vess ilpoidhidi kusogelea kuyaendeya maji y IRAN kafla ikajikuta imepoteza mawasiliano yote kwamahana awawezi kuomba msaada wajeda wa IRAN wakawakamata kama vitoto vyapanya wajeda wa jesh la marekani wamepiga magoti yani mitutu yao aikuwasaidia chochote baada tu bot kuzimwa mawasiliano wakajua washayakanyaga wakanyoosha mikono juu uku wamepiga magoti😀😀😀 wakabebwa wote na Iran. OBAMA akapiga kalele na vile waziri w mambo yanje alikuwa john kerry ambaye alionekana japo waIran wanamwelewa mana ndio alisimamia mkataba ambao ulikuja kuvunjwa na TRAMP baadae,, uyo kerry alienda mwenyewe Iran na akafanikiwa kuIshawishi Iran wakaachiwa wajeda wote akasepa nao na ndege yake,,. Mwenye picha atupiwe umu watu wanajisaausana. IRAN ni mbabe toka apo wajeda w jesh la marekani wakienda eneo ilo wanatii sheria zote. Awajioni wao wakubwa na wanakaa kwakutulia😀😀😀