Wizara ya ulinzi ya Israel yaanzisha uchunguzi baada ya app ya Strava kutumika kudukua na kuvujisha taarifa nyeti za Jeshi La Israel

Wizara ya ulinzi ya Israel yaanzisha uchunguzi baada ya app ya Strava kutumika kudukua na kuvujisha taarifa nyeti za Jeshi La Israel

Na pindi ichoicho cha Obama walikutana na kizazaa cha ile Vess bot yao y kijesh ya jesh la marekani iliingia ktk maji ya Iran vess inakilakitu wajeda kibao mitutu kila aina sijui walitaka kufanya nini wale wajeda. Lkn ile Vess ilpoidhidi kusogelea kuyaendeya maji y IRAN kafla ikajikuta imepoteza mawasiliano yote kwamahana awawezi kuomba msaada wajeda wa IRAN wakawakamata kama vitoto vyapanya wajeda wa jesh la marekani wamepiga magoti yani mitutu yao aikuwasaidia chochote baada tu bot kuzimwa mawasiliano wakajua washayakanyaga wakanyoosha mikono juu uku wamepiga magoti😀😀😀 wakabebwa wote na Iran. OBAMA akapiga kalele na vile waziri w mambo yanje alikuwa john kerry ambaye alionekana japo waIran wanamwelewa mana ndio alisimamia mkataba ambao ulikuja kuvunjwa na TRAMP baadae,, uyo kerry alienda mwenyewe Iran na akafanikiwa kuIshawishi Iran wakaachiwa wajeda wote akasepa nao na ndege yake,,. Mwenye picha atupiwe umu watu wanajisaausana. IRAN ni mbabe toka apo wajeda w jesh la marekani wakienda eneo ilo wanatii sheria zote. Awajioni wao wakubwa na wanakaa kwakutulia😀😀😀
 
Ni kwa sababu ya media za magharibi wanafanya juhudi sana kuidogosha isisikike duniani...
Lakini ogopa nchi middle east ina proxies halafu ina wadhamini kifedha na silaha, hio ni akili kubwa sana, kabla hujamgusa Iran unakabiliana na proxies wake kwanza... kipindi hiko ana sanctions toka 1970s..

Ni strategy ya akili sana na ndicho kinamsumbua Israel...

Kwa middle east Iran ni regional power, wapo mbali sana... ni watu hawasemi ukweli..
Facts na ndio maana kuichapa Iran wanawaza sana wanajua kitakachofuata Iran akili kubwa ona sasa kwake amani ipo israhell kwao wanakufa tu wakiwemo idf Iran akili kubwa sanaaa
 
Mkuu T14 Armata hata kwa dawa hawezi kuchangia kwenye hii mada.
Anaweza akaja jamaa tokea nimwambie alete picha za satellite za shambulizi la Israhell kwa Iran naona katokomea ila hope itakua majukumu
 
Na pindi ichoicho cha Obama walikutana na kizazaa cha ile Vess bot yao y kijesh ya jesh la marekani iliingia ktk maji ya Iran vess inakilakitu wajeda kibao mitutu kila aina sijui walitaka kufanya nini wale wajeda. Lkn ile Vess ilpoidhidi kusogelea kuyaendeya maji y IRAN kafla ikajikuta imepoteza mawasiliano yote kwamahana awawezi kuomba msaada wajeda wa IRAN wakawakamata kama vitoto vyapanya wajeda wa jesh la marekani wamepiga magoti yani mitutu yao aikuwasaidia chochote baada tu bot kuzimwa mawasiliano wakajua washayakanyaga wakanyoosha mikono juu uku wamepiga magoti😀😀😀 wakabebwa wote na Iran. OBAMA akapiga kalele sana na vile waziri w mambo y nje alikuwa John kerry ndio alisaidia kuwachiwa kwao uyo mwamba John alikwenda mwenyewe Iran sababu Iran wanamwelewa mwamba ndio kasimamia MKATABA ambao ulikuja kuvunjwa na Tramp baadae, toka apo jesh la marekani likiwa eneo ilo linafata sheria zote vile zimatakq aijioni yeye n mkubwa kuwa mkubwa akosei apana kwa Iran kanyooka.😀😀
 
download-2.jpeg
 
owo ndio waIran awaogopi mutu sura bendera ukijichanganya wanapita naww ndio mana marekani kwa Iran meneno yamekuwa mengi vitendo 0 wanawajua wanajiamini kwakuwa wanacho kitu, lkn jamaa zetu w uko kibindu chaz mbogo kigugu diombo wanadhani Iran anaiyogopa USA!! tukiwaambia USA ndio inaiyogopa Iran awaelewi lkn ukweli wote huu auwi mazingatio kwao jesh lao washawapigisha magoti live. Ukiacha drone zinavowasumbua,
 
Na pindi ichoicho cha Obama walikutana na kizazaa cha ile Vess bot yao y kijesh ya jesh la marekani iliingia ktk maji ya Iran vess inakilakitu wajeda kibao mitutu kila aina sijui walitaka kufanya nini wale wajeda. Lkn ile Vess ilpoidhidi kusogelea kuyaendeya maji y IRAN kafla ikajikuta imepoteza mawasiliano yote kwamahana awawezi kuomba msaada wajeda wa IRAN wakawakamata kama vitoto vyapanya wajeda wa jesh la marekani wamepiga magoti yani mitutu yao aikuwasaidia chochote baada tu bot kuzimwa mawasiliano wakajua washayakanyaga wakanyoosha mikono juu uku wamepiga magoti😀😀😀 wakabebwa wote na Iran. OBAMA akapiga kalele na vile waziri w mambo yanje alikuwa john kerry ambaye alionekana japo waIran wanamwelewa mana ndio alisimamia mkataba ambao ulikuja kuvunjwa na TRAMP baadae,, uyo kerry alienda mwenyewe Iran na akafanikiwa kuIshawishi Iran wakaachiwa wajeda wote akasepa nao na ndege yake,,. Mwenye picha atupiwe umu watu wanajisaausana. IRAN ni mbabe toka apo wajeda w jesh la marekani wakienda eneo ilo wanatii sheria zote. Awajioni wao wakubwa na wanakaa kwakutulia😀😀😀
raha sana kusikia hivi vitu japo wenyewe wanajikausha hawataki tujue kama wao ni viazi tu
 
Back
Top Bottom