Na pindi ichoicho cha Obama walikutana na kizazaa cha ile Vess bot yao y kijesh ya jesh la marekani iliingia ktk maji ya Iran vess inakilakitu wajeda kibao mitutu kila aina sijui walitaka kufanya nini wale wajeda. Lkn ile Vess ilpoidhidi kusogelea kuyaendeya maji y IRAN kafla ikajikuta imepoteza mawasiliano yote kwamahana awawezi kuomba msaada wajeda wa IRAN wakawakamata kama vitoto vyapanya wajeda wa jesh la marekani wamepiga magoti yani mitutu yao aikuwasaidia chochote baada tu bot kuzimwa mawasiliano wakajua washayakanyaga wakanyoosha mikono juu uku wamepiga magoti๐๐๐ wakabebwa wote na Iran. OBAMA akapiga kalele na vile waziri w mambo yanje alikuwa john kerry ambaye alionekana japo waIran wanamwelewa mana ndio alisimamia mkataba ambao ulikuja kuvunjwa na TRAMP baadae,, uyo kerry alienda mwenyewe Iran na akafanikiwa kuIshawishi Iran wakaachiwa wajeda wote akasepa nao na ndege yake,,. Mwenye picha atupiwe umu watu wanajisaausana. IRAN ni mbabe toka apo wajeda w jesh la marekani wakienda eneo ilo wanatii sheria zote. Awajioni wao wakubwa na wanakaa kwakutulia๐๐๐