Wizara zenye matatizo ambazo ninahitaji mabadiliko au kuondoa viongozi wake wa juu

Wizara zenye matatizo ambazo ninahitaji mabadiliko au kuondoa viongozi wake wa juu

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa Maliasili na utalii
6. Waziri Madini
7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu)
8. Waziri wa uchukuzi
 
Na wewe mwenyewe uondoshwe JF maana huna point.
 
List yako hajakamilika bila kutaja hawa mawaziri.
Weka Januari makamba kwenye list yako.
Weka pia Husseni Bashe na wizara yake ya kilimo
Weka pia Nape Nnauye na wizara yake.
 
Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa Maliasili na utalii
6. Waziri Madini
7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu)
8. Waziri wa uchukuzi
Wewe mpuuzi kwahiyo umewaacha;

Mbarawa

Nape na

January.

Au wewe ni chawa wao nini?
 
Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa Maliasili na utalii
6. Waziri Madini
7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu)
8. Waziri wa uchukuzi
Tutakupa wewe uongoze zote
 
Waziri wa viwanda na Biashara Ashamtu Kijaji,mimi huwa simuelewi!
 
Back
Top Bottom