peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Na wewe mwenyewe uondoshwe JF maana huna point.Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa Maliasili na utalii
6. Waziri Madini
7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu)
8. Waziri wa uchukuzi
Wewe mpuuzi kwahiyo umewaacha;Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa Maliasili na utalii
6. Waziri Madini
7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu)
8. Waziri wa uchukuzi
Tutakupa wewe uongoze zoteKuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa Maliasili na utalii
6. Waziri Madini
7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu)
8. Waziri wa uchukuzi
Waziri wa viwanda na Biashara Ashamtu Kijaji,mimi huwa simuelewi!Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa Maliasili na utalii
6. Waziri Madini
7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu)
8. Waziri wa uchukuzi
Mbarawa namba 8Wewe mpuuzi kwahiyo umewaacha;
Mbarawa
Nape na
January.
Au wewe ni chawa wao nini?