Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 06, 2025, Serikali itajibu ni lini itawasilisha muswada wa sheria kuhusu changomoto za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ili ziwe kwa mujibu wa sheria.
Wakati huo huo, Serikali itaeleza mkakati wake wa kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji mkoani Morogoro.
Wakati huo huo, Serikali itaeleza mkakati wake wa kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji mkoani Morogoro.