boy 1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 414
- 395
Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye mataa hakikisha milango na vioo umefunga.
Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale mataa mida ya usiku saa sita hivi, dirisha la nyuma nilisahau kulifunga, jamaa walikuwa wawili na pikipiki walitokea nyuma yangu na mmoja aliufungua mlango ghafla akanitolea panga aliniambia eti toa simu nilichokifanya nilikanyaga mafuta kwa nguvu yule jamaa kichwa kilikuwa ndani miguu nje alichokipata huko nyuma walisimuliana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]