APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Kumbe ndo maana bro wangu alikuwa na panga kwenye gari yake..nikimuuliza anasema "barabarani kuna wakorofi"Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii