Wizi kwenye Mataa ya barabarani

Wizi kwenye Mataa ya barabarani

Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
[emoji28][emoji28][emoji28] mi asingekula hata bati kanyaga wese akianguka nashuka kummalizia[emoji1683][emoji1683]
 
Eneo hatari sana lile last month wamenichukulia simu yangu nawaona hivi hivi na boda yao.
Kibaya zaidi kituo cha polisi kipo sekunde 30 tu kutoka hapo na hawajishughulishi kwa lolote
Polisi ni certified wezi
 
Mnamjua halafu mnamuona ila mnamuachia. Tumeni picha yake hapa kama mnamuogopa kumshughulikia.....
Nitatuma maana namuona sana akifokoa watu pesa ila huwa nakaushaga tu maana kila nikihadithia mkasa wangu watu hunicheka tu, sasa na mimi huwa napandishaga vioo huku nikicheki anavyochomoa watu pesa wasiofunga vioo
 
Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Nimecheka sana mpaka watu wanashangaa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kidume mzima unaogopa wembe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kweli nyie ndo mnafanya wanaume wote wa Dar wasemwe vibaya yaani kidume mzima unaogopa kiwembe je ukikutana na mishale yenye sumu au gobore si ndo utajinyea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa yeye aliwekewa cylinge na sindano yenye drops za damu mbichi huku akiambiwa ina ukimwi atoe hela vinginevyo anamchoma nayo..

Mwingine yeye aliwekewa kinyesi cha binadamu kimekorogwa akatishiwa kumwagiwa...

MJINI BALAA...
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ndiyo maana huwa nakuuita boya! Sasa kweli mwanamme mzima unanyang'anywa 70,000 kwa kutishiwa na wembe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]yaani nimecheka sana huyu jamaa sio bure atakuwa mlaini sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Nimecheka sana mpaka watu wanashangaa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kidume mzima unaogopa wembe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kweli nyie ndo mnafanya wanaume wote wa Dar wasemwe vibaya yaani kidume mzima unaogopa kiwembe je ukikutana na mishale yenye sumu au gobore si ndo utajinyea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Van Damme bado yupo ile mitaa ya Fire na Msimbazi, tuache muda uongee; halafu tatizo hamuelewi uzito wa pesa hutofautiana baina ya mtu na mtu, hiyo pesa ni ya mafuta ya siku 1 tu...
 
Huyo Van Damme bado yupo ile mitaa ya Fire na Msimbazi, tuache muda uongee; halafu tatizo hamuelewi uzito wa pesa hutofautiana baina ya mtu na mtu, hiyo pesa ni ya mafuta ya siku 1 tu...
Ndo utishiwe kiwembe kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hali hii serikali ingefanya mpango wanaume wa Dar wapelekwe JKT kwa nguvu angalau mpate kaujasiri ka kujihami kidogo.
Sijawahi kusikia huko Mara eti kuna Panya road au vibaka wa kutumia kiwembe halafu ukute ni kijana mdogo teja asiye na nguvu kabisa eti anakutishia kiwembe unampa hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushauri wa bure ukikamata hawa wezi wangese kama unaweza tia dole kwenye tigo yake mara 2 chapchap.!
 
Back
Top Bottom