[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umemnyoosha mi ningeweka R na kukanyaga wese kwa nguvu ili azame ndani akiwa keshajeruhiwa halafu namsachi[emoji384][emoji383]Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa Makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye Mataa hakikisha milango na vioo umefunga
Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale Mataa mida ya usiku saa sita hivi
Dirisha la nyuma nilisahau kulifunga
Jamaa walikuwa wawili na piki piki walitokea nyuma yangu na mmoja aliufungua mlango ghafla akanitolea panga aliniambia eti toa simu nilichokifanya nilikanyaga mafuta kwa nguvu yule jamaa kichwa kilikuwa ndani miguu nje alichokipata huko nyuma walisimuliana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiiiNaomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa Makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye Mataa hakikisha milango na vioo umefunga
Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale Mataa mida ya usiku saa sita hivi
Dirisha la nyuma nilisahau kulifunga
Jamaa walikuwa wawili na piki piki walitokea nyuma yangu na mmoja aliufungua mlango ghafla akanitolea panga aliniambia eti toa simu nilichokifanya nilikanyaga mafuta kwa nguvu yule jamaa kichwa kilikuwa ndani miguu nje alichokipata huko nyuma walisimuliana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa Makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye Mataa hakikisha milango na vioo umefunga
Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale Mataa mida ya usiku saa sita hivi
Dirisha la nyuma nilisahau kulifunga
Jamaa walikuwa wawili na piki piki walitokea nyuma yangu na mmoja aliufungua mlango ghafla akanitolea panga aliniambia eti toa simu nilichokifanya nilikanyaga mafuta kwa nguvu yule jamaa kichwa kilikuwa ndani miguu nje alichokipata huko nyuma walisimuliana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan huyu bahati yake kwamba huko mbele hakuwa blocked na gari nyingine akapata upenyo wa kuondoa gari kwa nguvuDaah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Alikuwa na panga tatizo Ila najua nilimfurahisha huko nyuma [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umemnyoosha mi ningeweka R na kukanyaga wese kwa nguvu ili azame ndani akiwa keshajeruhiwa halafu namsachi[emoji384][emoji383]
Kiwanda kipi?
Unatoa pesa kwa kiwembe dah!Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Ukibananishwa vizuri unatoa tu, haya mambo omba sana yasikukuteUnatoa pesa kwa kiwembe dah!
Wanaume wa dar hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatoa pesa kwa kiwembe dah!
Hyo haelewi tu. Watu wanabananishwa kitandani na mwanamke hana silaha yyte na wanatoa hela halafu anasema wembe ? We wembe habar ingine aiseeUkibananishwa vizuri unatoa tu, haya mambo omba sana yasikukute
Hii dunia haiwezi kutuliaDaah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Hahaha kweli kabisa mzeeUkibananishwa vizuri unatoa tu, haya mambo omba sana yasikukute
Safi Sana, sisi mwezi huu tu tushaua wezi Kama watatu kwa kipigo mtaani kwetuNaomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa Makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye Mataa hakikisha milango na vioo umefunga
Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale Mataa mida ya usiku saa sita hivi
Dirisha la nyuma nilisahau kulifunga
Jamaa walikuwa wawili na piki piki walitokea nyuma yangu na mmoja aliufungua mlango ghafla akanitolea panga aliniambia eti toa simu nilichokifanya nilikanyaga mafuta kwa nguvu yule jamaa kichwa kilikuwa ndani miguu nje alichokipata huko nyuma walisimuliana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
polisi wanajifanya tusichukue sheria mkononi,wakati leo tu nimesikia Kuna kibaka kaua polisi kwa panga huko ArumeruSafi Sana, sisi mwezi huu tu tushaua wezi Kama watatu kwa kipigo mtaani kwetu