Wizi kwenye Mataa ya barabarani

Kwa hiyo uliondoka na kichwa mwili ukawa chia
 
Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
🤣 🤣 🤣 🤣Ndiyo maana huwa nakuuita boya! Sasa kweli mwanamme mzima unanyang'anywa 70,000 kwa kutishiwa na wembe?🤣🤣🤣
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ndiyo maana huwa nakuuita boya! Sasa kweli mwanamme mzima unanyang'anywa 70,000 kwa kutishiwa na wembe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo ukute aliambiwa kina ukimwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Lini hiyo?
 
Hapo ukute aliambiwa kina ukimwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣 🤣Jamaa huwa tunapigana sana za uso hapa jamvini hasa kuhusu mambo ya korona hivyo nikaamua kumtania. Ukweli ni kwamba hata kiwembe mtu akikulia timing vizuri unaweza kukosa ujanja
 
🤣 🤣Jamaa huwa tunapigana sana za uso hapa jamvini hasa kuhusu mambo ya korona hivyo nikaamua kumtania. Ukweli ni kwamba hata kiwembe mtu akikulia timing vizuri unaweza kukosa ujanja
Na ukifanya mchezo anakukata kweli....sasa kwa nini u risk yote hayo tetanus n.k unatoa tu..hela zinatafutwa but uhai ni wa mara moja tu.
 
hivi huko hakuna serikali ya kulinda watu na mali zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…