Kumbe ndo maana bro wangu alikuwa na panga kwenye gari yake..nikimuuliza anasema "barabarani kuna wakorofi"Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Kwa taarifa hii, na jinsi ninavyowafahamu mateja/vibaka wa Dar, Mkuu, kwao ni bonge la uvumbuzi! Sasa subirini, watatembea na nyundo kabisa. Vioo vitavunjwa!!Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Jamaa alizingatia Anatomy, sijui kama na wewe ulifikiria kama yeye? Jugular mzeeYaani mchana kweupe unatolewa 7000 kwa kutishiwa kiwembe? Mchana kweupe? Unajua nyie ndo mnaotuchafulia jina sisi wanaume wa dar. Ungekua karibu yangu ukanisimulia hivi ningekuwasha makofi kidogo.
Unatembea na kitu kama hii🤣👇Kumbe ndo maana bro wangu alikuwa na panga kwenye gari yake..nikimuuliza anasema "barabarani kuna wakorofi"
Huyu kibaka hadi leo hii bado yupo, Mi imenitokea Mara mbili same personDaah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Fire pale si unazima gari,unafungua unamtokea?,unatishwa na kiwembe?...wazee tufanye mazoezi ya kujilinda..Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Dawa yake nenda tena pale ukiwa na spray yenye tindikali na dirisha moja likiwa umeteremsha kidogo akikukaribia na wembe wake mpulizie machoni utakuwa umemkomesha kabisa.Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye mataa hakikisha milango na vioo umefunga.
Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale mataa mida ya usiku saa sita hivi, dirisha la nyuma nilisahau kulifunga, jamaa walikuwa wawili na pikipiki walitokea nyuma yangu na mmoja aliufungua mlango ghafla akanitolea panga aliniambia eti toa simu nilichokifanya nilikanyaga mafuta kwa nguvu yule jamaa kichwa kilikuwa ndani miguu nje alichokipata huko nyuma walisimuliana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti anaitwa Van Damme sijui 😂😂😂Huyu kibaka hadi leo hii bado yupo, Mi imenitokea Mara mbili same person
Hata leo ukienda mataa ya pale Fire au Msimbazi utamkuta huyo teja, nakushauri umkomeshe kwa njia hiyo.., hasa barabara ya Msimbazi kuelekea uhuru huwa anakaguaga gari hadi gari kuangalia nani hajafunga kioo, yaani kama trafiki yupo kwenye ukaguzi, tena kushoto tu kuna kituo cha polisi msimbazi, na siamini kama hawamjui huyo tejaDawa yake nenda tena pale ukiwa na spray yenye tindikali na dirisha moja likiwa umeteremsha kidogo akikukaribia na wembe wake mpulizie machoni utakuwa umemkomesha kabisa.
Jamani jamani inaogopesha😪Kuna jamaa yeye aliwekewa cylinge na sindano yenye drops za damu mbichi huku akiambiwa ina ukimwi atoe hela vinginevyo anamchoma nayo..
Mwingine yeye aliwekewa kinyesi cha binadamu kimekorogwa akatishiwa kumwagiwa...
MJINI BALAA...
Yeuwii sasa mkuu si ungempa hata 10,000/= tu why 70k yote?🙄Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Sasa mkuu ungekua wewe ungefanyaje hapo? Akikuchana kweli je na hicho kiwembe huenda kina HIV 😒 ila angempa 10000 tu🤣 🤣 🤣 🤣Ndiyo maana huwa nakuuita boya! Sasa kweli mwanamme mzima unanyang'anywa 70,000 kwa kutishiwa na wembe?🤣🤣🤣
Nilikuwa namtania jamaa tu mkuu. Unaweza kukosa ujanja na ukajikuta unatoaSasa mkuu ungekua wewe ungefanyaje hapo? Akikuchana kweli je na hicho kiwembe huenda kina HIV 😒 ila angempa 10000 tu
Mmh yaani kwako 70k ni nauli tu? Mkuu huo ni mshahara wangu kabisa😪 na why ulimpa 70 na si 30, 40 au 100k? Au ndiyo balance uliyokua nayo?Daah, hivi kumbe 70k ni kubwa namna hii, mi niliona kama nimetoa nauli tu, basi tuu..., ndio hivyo...
Aisee ni hatari lkn hawa vibaka!😒 nasikia hadi unatishiwa sindano yenye damu akii, nawapa hela zote ili tu nitoke salama😪 pesa ntatafuta zingine ila afya kwanzaNilikuwa namtania jamaa tu mkuu. Unaweza kukosa ujanja na ukajikuta unatoa
Viwembe vya uso unavilinganisha na 60,000/-? Na hapo uombee alikose jicho..!!Yeuwii sasa mkuu si ungempa hata 10,000/= tu why 70k yote?🙄
Wanaume wa DarUnatoa pesa kwa kiwembe dah!
Taa ziliruhusu ilipofika 70k, zingeendelea kuniweka labda angekula hata laki 5, who knows, ila 500k ni hela mtu unaingiza siku 1 tu, ya nini kurisk...Mmh yaani kwako 70k ni nauli tu? Mkuu huo ni mshahara wangu kabisa😪 na why ulimpa 70 na si 30, 40 au 100k? Au ndiyo balance uliyokua nayo?
Mmh kwani alikua anakwambia bado toa zingine? Hadi ikafika 70k au ilifikaje hadi ukampa hiyo yote?Taa ziliruhusu ilipofika 70k, zingeendelea kuniweka labda angekula hata laki 5, who knows, ila 500k ni hela mtu unaingiza siku 1 tu, ya nini kurisk...