Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya bidhaa fake inatumika sana. Niliwahi kuambiwa wakati fulani Serikali ilihitaji pump kubwa za kusukuma maji. Supplier alipewa order ya pumps 15, kila moja dola 35,000. Akaleta na sample, ikakubaliwa. Jamaa aliagiza pump 2 toka Ujerumani, zikawa 3 ukijumuisha na ile ya sample. Moja akaipeleka China kwaajili ya kutoa copy. Wakatoa fake 12 kwa dola 5,000 kila moja.Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali
1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa hapa kuna mambo, kwanza vinaagizwa vitu vingi na ndani yake inaingizwa order yao binafsi (Mafisadi) kwa hiyo mfano mahitaji ni 200,000 basi vitaombwa 250,000, hivyo elfu hamsini watajua wao watakavyoupeleka mchakato kati ya wanunuzi na watu wa store na record za ledger book ila Serikali itatoa hela ya 250,000 maana yake hapo kuna vitakavyoingizwa kwenye ledger na kuonekana vimetoka au visiingizwe kabisa kwenye ledger book.
2. Kuongeza gharama za manunuzi mara mbili au zaid ya bei halisi kama kitu kinauzwa Tsh.200,000/ basi serikali itauziwa kati ya Tsh.300,000 hadi Tsh. 350,000/- au zaid
3. Kununua vitu ambavyo ni low quality wakati vinavyohitajika na pesa iliyotoka serikalini ni ya vifaa vyenye high quality ( hili lilijitokeza kwenye vishkwambi, mashine za kusajili wapiga kura, mifumo ya kimtandao ya serikali , servers nk ndio maana mifumo mingi ya Derikali haiishi kusumbua kila mara)
4. Kuchanganya bidhaa original na feki zake, hasa zile zinazohitajika kwa wingi mf. Vifaa vya afya , vifaa vya kielectronic ,vifaa vya miradi ,vifaa vya kazi maalumu nk.
Yaani hapa iko hivi mfano vinahitajika vifaa 200,000 ambavyo bei yake ni Tsh.600,000/- kila kimoja ambacho ni original na high quality, kitakachofanyika ni kununua vifaa 100,000 original kabisa ambavyo navyo unaweza kukuta bei iliongezwa , halafu hivyo 100,000 vilivyo baki vinatafutwa feki yake vifananavyo na vinavyoweza kufanya kazi ile ile ila sio kwa ubora lakini kwa bei ya chini labda Tsh 250,000/- na hapa huwa order inatolewa China maana ndio kuna local industries zenye ubingwa wa kutoa copy za vitu kwa bei ndogo ili pesa ya juu watu waibe
5. Kuleta vitu vilivyoagizwa kwa mafungu mafungu yani kama vilihitajika vifaa labda 200,000 vinaletwa kwanza 130,000 halafu wanasikilizia kwanza kama kutakuwa na kelele wakiona kimya ndio imetoka hiyo vilivyobaki haviji tena pamoja na kwamba Serikali inakuwa ilishatoa hela ya vyote 200,000 na baada ya hapo wanacheza na watu wa record kwenye ledger book idadi inajazwa lakini vitu havipo.
Zipo njia nyingi zaidi na sitaki kuamini kwamba serikali haijui
UVCCM tena, hivi vijizi vidogo vinavyofunzwa kuwa majizi papa.Uvccm na wafia CCM humu wamekimbia hawataki kbs kuona mamb ya CAG!!
Bosi walishawaambia kila mtu ale kwa urefu wa kamba, sasa matokeo ya urefu wa kamba ndio haya na hawatafanywa chochote, wananchi tuamke tusitegemee kuna mtu atakuja kutusaidia kupambana na hawa mabaradhuli wabadhirifuSijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali
1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa hapa kuna mambo, kwanza vinaagizwa vitu vingi na ndani yake inaingizwa order yao binafsi (Mafisadi) kwa hiyo mfano mahitaji ni 200,000 basi vitaombwa 250,000, hivyo elfu hamsini watajua wao watakavyoupeleka mchakato kati ya wanunuzi na watu wa store na record za ledger book ila Serikali itatoa hela ya 250,000 maana yake hapo kuna vitakavyoingizwa kwenye ledger na kuonekana vimetoka au visiingizwe kabisa kwenye ledger book.
2. Kuongeza gharama za manunuzi mara mbili au zaid ya bei halisi kama kitu kinauzwa Tsh.200,000/ basi serikali itauziwa kati ya Tsh.300,000 hadi Tsh. 350,000/- au zaid
3. Kununua vitu ambavyo ni low quality wakati vinavyohitajika na pesa iliyotoka serikalini ni ya vifaa vyenye high quality ( hili lilijitokeza kwenye vishkwambi, mashine za kusajili wapiga kura, mifumo ya kimtandao ya serikali , servers nk ndio maana mifumo mingi ya Derikali haiishi kusumbua kila mara)
4. Kuchanganya bidhaa original na feki zake, hasa zile zinazohitajika kwa wingi mf. Vifaa vya afya , vifaa vya kielectronic ,vifaa vya miradi ,vifaa vya kazi maalumu nk.
Yaani hapa iko hivi mfano vinahitajika vifaa 200,000 ambavyo bei yake ni Tsh.600,000/- kila kimoja ambacho ni original na high quality, kitakachofanyika ni kununua vifaa 100,000 original kabisa ambavyo navyo unaweza kukuta bei iliongezwa , halafu hivyo 100,000 vilivyo baki vinatafutwa feki yake vifananavyo na vinavyoweza kufanya kazi ile ile ila sio kwa ubora lakini kwa bei ya chini labda Tsh 250,000/- na hapa huwa order inatolewa China maana ndio kuna local industries zenye ubingwa wa kutoa copy za vitu kwa bei ndogo ili pesa ya juu watu waibe
5. Kuleta vitu vilivyoagizwa kwa mafungu mafungu yani kama vilihitajika vifaa labda 200,000 vinaletwa kwanza 130,000 halafu wanasikilizia kwanza kama kutakuwa na kelele wakiona kimya ndio imetoka hiyo vilivyobaki haviji tena pamoja na kwamba Serikali inakuwa ilishatoa hela ya vyote 200,000 na baada ya hapo wanacheza na watu wa record kwenye ledger book idadi inajazwa lakini vitu havipo.
Zipo njia nyingi zaidi na sitaki kuamini kwamba serikali haijui
Yapo mengi sana haya yanafanywa nashangaa kuna watu wanajiita usalama wa taifa eti "ulipo tupo" , haya yanapo fanyika kama kweli wao wapelelezi kwa nyanja zote huwa wawayaoni? Kwanini wasi rescue kabla ? Ili kweli tuwaone ni wapigania usalama na mali za taifa!? Au nao ni usalama wa mali za mafisadi.Hiyo ya bidhaa fake inatumika sana. Niliwahi kuambiwa wakati fulani Serikali ilihitaji pump kubwa za kusukuma maji. Supplier alipewa order ya pumps 15, kila moja dola 35,000. Akaleta na sample, ikakubaliwa. Jamaa aliagiza pump 2 toka Ujerumani, zikawa 3 ukijumuisha na ile ya sample. Moja akaipeleka China kwaajili ya kutoa copy. Wakatoa fake 12 kwa dola 5,000 kila moja.
Zilipoanza kufanya kazi, zile 12 ikawa ni matengenezo kila wakati. Waliopewa zile original 3 wakawa wanasifiwa sana wale wasimamizi kuwa ni watunzaji wazuri, kumbe zilikuwa ni pump tofauti kabisa.
Bila ya wananchi kuinuka na kuupinga huu uovu wa Serikali kwa vitendo, Serikali itaendelra kuwa genge la majizi la kuiba pesa ya umma.
Serikali imejaa majizi na wala rushwa, kuanzia mawaziri mpaka watendaji wa chini (hata PM mwenyewe siyo msafi).