DOKEZO Wizi mpya umeibuka jiji la Makonda Arusha ukihusisha jeshi la polisi. Mamlaka naomba zichukue hatua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hv makonda ana jiji?
 
Wale wanapita na yeyote mkuu. Uwe boda au usiwe boda
Bodaboda wakilalamika hata kwenye online TV lazima wahusika watapigwa mkwara waache kuwasumbua bodaboda huu mwaka. Boda boda wana umuhimu mkubwa sana mwaka huu! Ukitaka kufahamu umuhimu wa bodaboda waulize wanasiasa, huwa wanahaha kuwa upande wa bodaboda na wanawake kipindi cha uchaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…