Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku.
Ujumbe uko hivi:
"VODACOMLIVE
Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599"
Mtu huna interest na mziki, hujaomba kuunganishwa na tayari wamesha kutia shs 200 siku hiyo.
Vodacom ina wateja wengi, kwa hiyo kama wame target siku hiyo wateja wao milioni 5, basi aameshawaibia toka account zao wote BILIONI 1 KWA SIKU.
HUU NI WIZI WA MCHANA.
TCRA na wizara ya mawasiliano naomba msilale.
Yaweke wazi mkuu!Nimewapigia na kurekodi mazungumzo
Asante MODS, wamesha sahihisha!Kwa vile haiwezekani kwa mtoa mada kubadili kichwa cha mada hata kama kuna makosa, jiongeze kwa kuhariri kichwa cha mada kabla ya kuposti. Uliandika VIDACOM. Thanks to moderators, wamerekebisha.
Wanaiba zaidi ya BILIONI MOJA kwa siku.Voda majambazi sana
Nilipokea ujumbe husika. Nikawapigia simu, kwakuwa wamezoea kuniunganisha na upuuzi kisha wanasema nilijiunga mwenyewe nikaanza kwa kuwauliza wanielekeze jinsi ya kujiunga (bahati nzuri mimi sikuwa na salio kwahiyo ujumbe ulitangulia). Wakaropoka weee, kisha nikawauliza ni lini nilijiunga kwenye hizo huduma ikiwa hata menu yenyewe lazima upite sijui mpesa. Muhudumu akaanza kujikanyagakanyaga. Nilimgombeza sana kwasababu alishindwa kujibu maswali kwa ufasaha. Nilirekodi mazungumzo yote na namna alivyonijibu.Yaweke wazi mkuu!
Au ndiyo kusema wanatekeleza vilivyo mkakati, kanuni, sera, na falsafa ya ^Kila mbuzi ale sawasawa na urefu wa kamba yake^?Wanaiba zaidi ya BILIONI MOJA kwa siku.
Serukali iamke na wizi huu.
Sasa hapo umendikiwa neno ondoa kwenda na namba umepewa sasa si ujiondoe?Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku.
Ujumbe uko hivi:
"VODACOMLIVE
Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599"
Mtu huna interest na mziki, hujaomba kuunganishwa na tayari wamesha kutia shs 200 siku hiyo.
Vodacom ina wateja wengi, kwa hiyo kama wame target siku hiyo wateja wao milioni 5, basi aameshawaibia toka account zao wote BILIONI 1 KWA SIKU.
HUU NI WIZI WA MCHANA
TCRA na wizara ya mawasiliano naomba msilale.
Hao ni wezi, na kwa uzi huu serikali iichukulie kwa uzito unaostahili.Nilipokea ujumbe husika. Nikawapigia simu, kwakuwa wamezoea kuniunganisha na upuuzi kisha wanasema nilijiunga mwenyewe nikaanza kwa kuwauliza wanielekeze jinsi ya kujiunga (bahati nzuri mimi sikuwa na salio kwahiyo ujumbe ulitangulia). Wakaropoka weee, kisha nikawauliza ni lini nilijiunga kwenye hizo huduma ikiwa hata menu yenyewe lazima upite sijui mpesa. Muhudumu akaanza kujikanyagakanyaga. Nilimgombeza sana kwasababu alishindwa kujibu maswali kwa ufasaha. Nilirekodi mazungumzo yote na namna alivyonijibu.
Mbona watu mnakuwa wagumu kuelewa?Sasa hapo umendikiwa neno ondoa kwenda na namba umepewa sasa si ujiondoe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kujitoa si hoja. Hoja hapa ni kwamba tayari Voda wamekwishamkata sh 200 yake bila yeye kuridhia kujiunga. Huu ni wizi kwani wateja wake wanalazimishwa kutoa sh 200 kwa ujanja huo wa hao Vodacom.Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.
Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.
Kukatwa ni uzembe wako tu.Lakini kujitoa si hoja. Hoja hapa ni kwamba tayari Voda wamekwishamkata sh 200 yake bila yeye kuridhia kujiunga. Huu ni wizi kwani wateja wake wanalazimishwa kutoa sh 200 kwa ujanja huo wa hao Vodacom.
Acha kutetea utapeli wa kijinga unaofanywa na mitandao ya simu.Kinachofanyika ni UTAPELI kama utapeli mwingine sasa usijione uko salama kwasababu halijakuathiri ukasahau kua kesho yaweza kua zamu yako.Kukatwa ni uzembe wako tu.
Siku zote tatu toka upokee ujumbe unakuwa hukatwi kitu,unasubiri nini kujiondoa.
Hiyo ni negligence yako.
It is unfair kwa a reputable business kuwa na msimamo officially wa kuwaibia wateja wake.Kukatwa ni uzembe wako tu.
Siku zote tatu toka upokee ujumbe unakuwa hukatwi kitu,unasubiri nini kujiondoa.
Hiyo ni negligence yako.
Kama hilo nalo ni utapeli then wewe utatapeliwa na kila mtu.Acha kutetea utapeli wa kijinga unaofanywa na mitandao ya simu.Kinachofanyika ni UTAPELI kama utapeli mwingine sasa usijione uko salama kwasababu halijakuathiri ukasahau kua kesho yaweza kua zamu yako.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app