Wizi mpya wa Vodacom: Waziri wa Mawasiliano ingilia kati

Wizi mpya wa Vodacom: Waziri wa Mawasiliano ingilia kati

Mimi ndio maana siweki vocha hata siku moja. Labda mpaka wanikumbushe wenyewe kuweka. Vifurushi nanunua kwa mpesa/tigopesa
 
Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.

Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.

Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.

BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
Sheria inawakataza kutumia namba (akaunti) yako bila ridhaa yako. Hata meseji za matangazo zilishakatazwa. Awali utakuta kila dakika unapokea meseji za matangazo ya bidhaa zao na kukushawishi kujiunga na mambo usiyoyahitaji wala kujihusiha nayo (kwa mfano kamari). Kwa kweli hawa wanatakiwa kupewa funzo la kimahakama la kumlipa mteja mabilioni ndipo watakaposhika adabu!
 
Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku.

Ujumbe uko hivi:

"VODACOMLIVE

Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599"

Mtu huna interest na mziki, hujaomba kuunganishwa na tayari wamesha kutia shs 200 siku hiyo.

Vodacom ina wateja wengi, kwa hiyo kama wame target siku hiyo wateja wao milioni 5, basi aameshawaibia toka account zao wote BILIONI 1 KWA SIKU.

HUU NI WIZI WA MCHANA

TCRA na wizara ya mawasiliano naomba msilale.
Voda ukiweka bundle la pesa nyingi wanalidrain fasta sana wahuni
 
Fanya hivi..hawatakusumbua tena, yaani zile namba zao wanazotumiaga kuleta matangazo yao yakipuuz ktk mesej, we piga block, na hutosumbuliwa tena, wala kuibiwa.

Uhuni wao unakuja pale unapokuwa na mazoea ya kufungua hizo mesej zao za matangazo, ndyo hapo wanakuunganisha na mahuduma yao yakipuuz bila wew kujua na kukufanya wew mtaji wao..

Piga block hao matapeli
Screenshot_20220204-014723.jpg
 
Huo ni wizi tu!Wameona wakitangazia watu wajiunge kwa hiari hawajiungi sasa wanalazimisha wateja.Vodacom jirekebisheni watanzania tuna mengi ya kufanya sio kusubiri meseji zenu tu!

Vodacom wameuleta huu wizi wa ujanja janja kutoka kwenye subscription services huko majuu ambako ukijiunga mara moja basi hiyo subscription ikiisha basi wanakata tu toka kwenye account yako automatically mapa account yako ikauke!! Huko angalau unapoanza unawapa kwa hiari yako account details zako!!
Sasa Vodacom kwavile mna account za wateja wenu sio busara kukata tu bila ridhaa yao. Kuna siku mteja atawapeleka mahakamani na mtalipa fedha nyingi sana; kwahiyo kuna umuhimu wa kukusanya ushahidi na kuwapeleka mahakamani kama wataendelea.
 
Sasa hapo umendikiwa neno ondoa kwenda na namba umepewa sasa si ujiondoe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi hayo yamenipata.Ila nani ana muda huo wa neno ondoa kwenda namba hiyo.Swala hapa ni kwamba,tayari wameshakuibia 200.Nilitaka kujiunga bundle la 1000 naambiwa salio halitoshi.Halafu wameleta tabia ya kuruhusu kuwapigia simu.Wanataka uwasiliane nao kwa msg.

Hakuna haja ya kugombana na hawa wahudumu.Wao wanaingia kazini wanakutana nayo,hivyo hawa hawana majibu ya kutupa sisi costomer wao.Tatizo Tcra ya sasa sio ile ya Mwendazake.

Kuna maswali ya kujiuliza.
1.Nani kawapa idhini ya kipuuzi ya kuingilia miamala yangu inayohusu fedha na kuchukua tena wanajipangia kiasi wanachotaka.
2.Je Serikali inalijua hili?
3.Tcra ipo au imekufa.
4.Kwa nini Voda wasibanwe mpaka warudishe hizo fedha walizokata kwa nguvu kutoka kwetu sisi wateja wao.
5.Security ya transactions zote ikiwa ni sms,direct call,vodam money iko wapi?
6.Kama ni maelekezo ya tozo nyingine serikalini tujulishwe tujue ndo maana Tcra imenyamaza kimya.

Sio hayo tu,kuna matangazo sms mengi tu yanayokuja bila mpangilio.Ukiondoa leo kesho tayari wamerudisha.Kwa mfano, kuna tangazo linakuja kukumbusha sijui muhadhara,muda wa kusali nk. Kwa mfano mimi ni Mkristo tangazo kama hili halinihusu,lakini Vodacom wasivyojua kupambanua ali mradi wao wanalipwa,wanaliachia tu.

Kama ni muumini mwenye kumcha mungu hakuhitaji kukumbushwa saa ya swala.Kwetu hili limekuwa kero na TCRA wao wanaona haiwahusu baada ya mwendazake kwenda zake.

Sasa hapo umendikiwa neno ondoa kwenda na namba umepewa sasa si ujiondoe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.

Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.

Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.

BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
Wizi uliopo hapa,unaambiwa ukitaka kujiondoa wakati tayari wameshaiba.Ok unakuwa mkimya unajiondoa.Unaingia bundle masaa 24.Ukiishiwa bundle Ukajiunga tena,wanakata tena.mchezo unakuwa hivyo.Ujumbe unakuja ukutka kujiondoa......Swali,nani aliwaambia vodacom nahitaji huduma hiyo bila mimi kuomba?Dawa tuwapeleke mahakamani wakili wetu tumwombe Kibatala apambane nao kwa kuwa serikali haitaki kusikiliza kilio cha watanzania.
 
Kukatwa ni uzembe wako tu.

Siku zote tatu toka upokee ujumbe unakuwa hukatwi kitu na huduma unapata,unasubiri nini kujiondoa kama hauko interested?

Hiyo ni negligence yako.
tone deaf and out of touch, huijiu nchi, unajadili ma theory bila uhalisia

mamilioni na mamilioni ya Watanzania wanakaa na simu siku tatu, wiki, hawajaiwasha kwa sababu ya:

UMEME HAKUNA
MTANDAO HAFIFU
HELA YA VOCHA
KU SAVE DATA
CHARGE IMEKWISHA
SIMU IMEHARIBIKA

Kuja kuwasha simu unakuta umekatwa hela bila kutaka wala kujijua....

Kwa kila bilioni moja kwa siku wanayopata VODA kwa trick hii serikali inakula 30 to 50%.... mapesa yanayoenda ku service ma VX V8 ya makatibu tawala wa wilaya na ma pesheni ya kina Ndugai....

Kwa hiyo Serikali is in cahoots with the telecoms... VODACOM is a criminal enterprise, the government gets a cut to keep quiet
 
Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku.

Ujumbe uko hivi:

"VODACOMLIVE

Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599"

Mtu huna interest na mziki, hujaomba kuunganishwa na tayari wamesha kutia shs 200 siku hiyo.

Vodacom ina wateja wengi, kwa hiyo kama wame target siku hiyo wateja wao milioni 5, basi aameshawaibia toka account zao wote BILIONI 1 KWA SIKU.

HUU NI WIZI WA MCHANA

TCRA na wizara ya mawasiliano naomba msilale.
TCRA mpo humu ndani, watu wanaeleza kero zao nyie mko kimya tu, kama Simba iliyofungwa na mbeya city.

Hebu chukueni hatua au semeni lolote ili roho zetu zipone
 
Nimenunua laini ya voda mwezi uliopita Jana nakuta umekuja ujumbe kimya kimya unasomeka hivi shake your phone to get many music. Nikajiuliza inamana hii simu nikitikisa tu tayari nimejiunga nakuanza kukatwa 200 kila siku
 
Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.

Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.

Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.

BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
...mnaichukulia nini bila kuiomba kwanza kama i ndogo??
 
Kukatwa ni uzembe wako tu.

Siku zote tatu toka upokee ujumbe unakuwa hukatwi kitu na huduma unapata,unasubiri nini kujiondoa kama hauko interested?

Hiyo ni negligence yako.
Wewe ni mpumbavu. Hayo makampuni yanakata hela na kuwapa wateja huduma bila ridhaa ya mteja. Sasa kama wao ndiyo wameunganisha huduma bila ridhaa ya mteja, wao ndiyo wenye liability ya kulipa pesa na kusitisha huduma. Huwezi ukaeleza ujinga wako eti kwanini mteja asisitishe! Kwani kosa la mteja ni nini hapo wakati upuuzi umetendeka na hao wahuni wa Voda, Tigo na Air tell. Wezi sana!
 
Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.

Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.

Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.

BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
Ukiondoa kama una kifurushi tu na hauna salio la kawaida haiondoki walivyo wapumbavu wanataka ulipie hiyo sms ya kutuma neno ondoa.

Hii imenitokea Tigo.

IMG_20220204_064154.jpg
 
Siku nakupiga kidole cha mkund* halafu nakumbia ikiuma sema nitoe, usiposema nakididimiza chote hadi mwisho, kenge wewe
Ndiyo zenu machoko hizo,mnajitambulisha hata kwa maandishi yenu.
 
Wewe ni mpumbavu. Hayo makampuni yanakata hela na kuwapa wateja huduma bila ridhaa ya mteja. Sasa kama wao ndiyo wameunganisha huduma bila ridhaa ya mteja, wao ndiyo wenye liability ya kulipa pesa na kusitisha huduma. Huwezi ukaeleza ujinga wako eti kwanini mteja asisitishe! Kwani kosa la mteja ni nini hapo wakati upuuzi umetendeka na hao wahuni wa Voda, Tigo na Air tell. Wezi sana!
Wewe ndiye mpumbavu.

Huo hauwezi kuitwa utapeli labda uitwe jina jingine labda USUMBUFU.

Mtu umeelekezwa namna ya kujitoa kama hauko-interested kabla ya makato halafu una mangamanga tu siku 3.

Halafu unakuja kutubania pua umetapeliwa!

Mnajua maana ya utapeli?

Hakuna ulaghai wowote kwenye hiyo meseji zaidi ni negligence yako.
 
Muda utaamua
 
Back
Top Bottom