gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Unatakiwa ufikirie kwa mapana.Hivi unadhani kuna wazee wetu wangapi ma babu na mabibi uko vijijini wanaomiliki simu za mkonini na wanakutana na hadha za namna hii.Sio wananchi wote wana uwezo wakupambanua nakushughulikia kero kama hizi kwahiyo tunaopata nafasi yakuliongelea tunaongelea kwa mapana hili isiwe kero kwa mwananchi yoyote.Mtu mbinafsi pake yake ndiye ataona hili halimhusu uku akisahau kua ana ndugu,jamaa na marafiki wanaoweza kuathirika na huu utapeli.Na hauna jina jingine zaidi ya utapeli.Kwahiyo kama wewe ni mnufaika wa huo utapeli muache.Kama hilo nalo ni utapeli then wewe utatapeliwa na kila mtu.
Utapeli upo ila hilo la mleta mada ni negligence.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app