Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria inawakataza kutumia namba (akaunti) yako bila ridhaa yako. Hata meseji za matangazo zilishakatazwa. Awali utakuta kila dakika unapokea meseji za matangazo ya bidhaa zao na kukushawishi kujiunga na mambo usiyoyahitaji wala kujihusiha nayo (kwa mfano kamari). Kwa kweli hawa wanatakiwa kupewa funzo la kimahakama la kumlipa mteja mabilioni ndipo watakaposhika adabu!Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.
Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.
Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.
BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
Hii ni mesage vijana wanajitengenezea kupata hela ndio maana wanaajiri vijana mwaka mmoja mtu anatembelea gari la milioni 80 kwa kutengeneza clip kama hivoUkituma ujumbe kwa hiyo number kama hauna kifurushi ama salio haiendi
Fafanua mkuuHii ni mesage vijana wanajitengenezea kupata hela ndio maana wanaajiri vijana mwaka mmoja mtu anatembelea gari la milioni 80 kwa kutengeneza clip kama hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Voda ukiweka bundle la pesa nyingi wanalidrain fasta sana wahuniUnapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku.
Ujumbe uko hivi:
"VODACOMLIVE
Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599"
Mtu huna interest na mziki, hujaomba kuunganishwa na tayari wamesha kutia shs 200 siku hiyo.
Vodacom ina wateja wengi, kwa hiyo kama wame target siku hiyo wateja wao milioni 5, basi aameshawaibia toka account zao wote BILIONI 1 KWA SIKU.
HUU NI WIZI WA MCHANA
TCRA na wizara ya mawasiliano naomba msilale.
Huo ni wizi tu!Wameona wakitangazia watu wajiunge kwa hiari hawajiungi sasa wanalazimisha wateja.Vodacom jirekebisheni watanzania tuna mengi ya kufanya sio kusubiri meseji zenu tu!
Hata mimi hayo yamenipata.Ila nani ana muda huo wa neno ondoa kwenda namba hiyo.Swala hapa ni kwamba,tayari wameshakuibia 200.Nilitaka kujiunga bundle la 1000 naambiwa salio halitoshi.Halafu wameleta tabia ya kuruhusu kuwapigia simu.Wanataka uwasiliane nao kwa msg.Sasa hapo umendikiwa neno ondoa kwenda na namba umepewa sasa si ujiondoe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo umendikiwa neno ondoa kwenda na namba umepewa sasa si ujiondoe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wizi uliopo hapa,unaambiwa ukitaka kujiondoa wakati tayari wameshaiba.Ok unakuwa mkimya unajiondoa.Unaingia bundle masaa 24.Ukiishiwa bundle Ukajiunga tena,wanakata tena.mchezo unakuwa hivyo.Ujumbe unakuja ukutka kujiondoa......Swali,nani aliwaambia vodacom nahitaji huduma hiyo bila mimi kuomba?Dawa tuwapeleke mahakamani wakili wetu tumwombe Kibatala apambane nao kwa kuwa serikali haitaki kusikiliza kilio cha watanzania.Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.
Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.
Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.
BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
tone deaf and out of touch, huijiu nchi, unajadili ma theory bila uhalisiaKukatwa ni uzembe wako tu.
Siku zote tatu toka upokee ujumbe unakuwa hukatwi kitu na huduma unapata,unasubiri nini kujiondoa kama hauko interested?
Hiyo ni negligence yako.
TCRA mpo humu ndani, watu wanaeleza kero zao nyie mko kimya tu, kama Simba iliyofungwa na mbeya city.Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku.
Ujumbe uko hivi:
"VODACOMLIVE
Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599"
Mtu huna interest na mziki, hujaomba kuunganishwa na tayari wamesha kutia shs 200 siku hiyo.
Vodacom ina wateja wengi, kwa hiyo kama wame target siku hiyo wateja wao milioni 5, basi aameshawaibia toka account zao wote BILIONI 1 KWA SIKU.
HUU NI WIZI WA MCHANA
TCRA na wizara ya mawasiliano naomba msilale.
...mnaichukulia nini bila kuiomba kwanza kama i ndogo??Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.
Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.
Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.
BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
Wewe ni mpumbavu. Hayo makampuni yanakata hela na kuwapa wateja huduma bila ridhaa ya mteja. Sasa kama wao ndiyo wameunganisha huduma bila ridhaa ya mteja, wao ndiyo wenye liability ya kulipa pesa na kusitisha huduma. Huwezi ukaeleza ujinga wako eti kwanini mteja asisitishe! Kwani kosa la mteja ni nini hapo wakati upuuzi umetendeka na hao wahuni wa Voda, Tigo na Air tell. Wezi sana!Kukatwa ni uzembe wako tu.
Siku zote tatu toka upokee ujumbe unakuwa hukatwi kitu na huduma unapata,unasubiri nini kujiondoa kama hauko interested?
Hiyo ni negligence yako.
Ukiondoa kama una kifurushi tu na hauna salio la kawaida haiondoki walivyo wapumbavu wanataka ulipie hiyo sms ya kutuma neno ondoa.Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.
Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.
Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.
BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
Ndiyo zenu machoko hizo,mnajitambulisha hata kwa maandishi yenu.Siku nakupiga kidole cha mkund* halafu nakumbia ikiuma sema nitoe, usiposema nakididimiza chote hadi mwisho, kenge wewe
Wewe ndiye mpumbavu.Wewe ni mpumbavu. Hayo makampuni yanakata hela na kuwapa wateja huduma bila ridhaa ya mteja. Sasa kama wao ndiyo wameunganisha huduma bila ridhaa ya mteja, wao ndiyo wenye liability ya kulipa pesa na kusitisha huduma. Huwezi ukaeleza ujinga wako eti kwanini mteja asisitishe! Kwani kosa la mteja ni nini hapo wakati upuuzi umetendeka na hao wahuni wa Voda, Tigo na Air tell. Wezi sana!
Hapa ndiyo kuna logic ya utapeli kama kujitoa kuna gharama.Ukiondoa kama una kifurushi tu na hauna salio la kawaida haiondoki walivyo wapumbavu wanataka ulipie hiyo sms ya kutuma neno ondoa.
Hii imenitokea Tigo.
View attachment 2107186
Muda utaamuaWewe ndiye mpumbavu.
Huo hauwezi kuitwa utapeli labda uitwe jina jingine labda USUMBUFU.
Mtu umeelekezwa namna ya kujitoa kama hauko-interested kabla ya makato halafu una mangamanga tu siku 3.
Halafu unakuja kutubania pua umetapeliwa!
Mnajua maana ya utapeli?
UTAPELI - Translation in English - bab.la
Translation for 'utapeli' in the free Swahili-English dictionary and many other English translations.en.bab.la
Hakuna ulaghai wowote kwenye hiyo meseji zaidi ni negligence yako.