Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa

Screenshot_20240928_132955_Instagram.jpg
 
Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa

View attachment 3109363
Kanisa linakemea dhambi nje na ndani yake. hivo kama ulikemewa ukaguswa na ukaona umeonewa
pole sana
 
Wanakasirika wanapoona Wakatoliki wanamuomba Mungu kwa kupitia Bikira Maria
Brother hakuna anayekasirika, kuambiwa kwamba sio sahihi kufanya hivo haimanishi tuna chuki na wakatoliki, lahasha binafsi mimi nawapenda sana wakatoliki hawana shida yoyote, shida iko huko juu mnaongozwa na watu wanaojua ukweli na kuwaficha.
Sala za bikira hazina msingi wowote wa maandiko, na hakuna sehemu tumeambiwa tuombe kwa kupitia bikira, bali paulo anatuambia mediator ni mmoja tuu kati yetu na mungu, naye ni yesu kristu.

Hii sio mara ya kwanza wahasibu wa kanisa kukutwa na makosa kama hayo, hii inakuumbua tuu kama mtu uliyekuwa na chuki dhidi ya wasabato, kwasababu huyo ni mtu mmoja tuu aliyetenda hilo kosa, sasa mbona unalisema kanisa zima?? Uwe unatumia akili
 
Nionyeshe Padre au askofu au papa ambaye Licha ya kutuhumiwa kujihusishanna matendo ya Ushoga, kubaka, na kulawiti watoto, wamewahi kufikishwa Mahakamani.


Kwa msioelewa Kanisa la Mungu la Sabato.

Siumeona hao majambazi walikua ndan ya Kanisa wamefikishwa mahakaman, maana yake tayari Kanisa limeshawavua ushirika.

Na hao watataabika Sanaa.
 
Back
Top Bottom