Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Sala za bikira hazina msingi wowote wa maandiko, na hakuna sehemu tumeambiwa tuombe kwa kupitia bikira, bali paulo anatuambia mediator ni mmoja tuu kati yetu na mungu, naye ni yesu kristu.
Kwani unasali kwa kutumia maandiko au kwa mwongozo wa kanisa?
 
Kwa taarifa yako, sala ya Jmosi imedumu kwa mrefu kuliko sala ya Jpili, sala ya JPili imeanza miaka ya around 300AD, but previously sala ilikuwa ni Jmosi
Hivi unajuwa maana ya Gregorian Calendar au Julian Calendar? Ungejuwa kuwa hizo siku za Jumamosi zilipangwa na hawa ma emperor wa Roman Empire.

Kabla ya karne ya 1 ya Calendar za kisasa unadhani Sabato yao ilikuwa sawa na hii ya leo?

Sabato ni siku yeyote ambayo dunia imeamua ni ya mapumziko.
 
Nionyeshe Padre au askofu au papa ambaye Licha ya kutuhumiwa kujihusishanna matendo ya Ushoga, kubaka, na kulawiti watoto, wamewahi kufikishwa Mahakamani.


Kwa msioelewa Kanisa la Mungu la Sabato.

Siumeona hao majambazi walikua ndan ya Kanisa wamefikishwa mahakaman, maana yake tayari Kanisa limeshawavua ushirika.

Na hao watataabika Sanaa.
Ushirika na sabato - unavuliwa na mtu.
Ushirika na mwili wa Kristo - Hauwezi kuvuliwa na mtu.

Nawaomba wapendwa tuwe washirika na Kristo na si kuwa washirika wa sabato/dini yoyote.

Amina.
 
Umepata pa kusemea ? Ulikosa la kuwakosoa ? Kwa hasira hizi juu yao,, inatupa ushuhuda kuwa kumbe ni wakweli na ulikosa dosari mpaka ulipovizia walioiba. Je wasingeiba ungekosoa nini ? Mbona nasikia wasabato ni wakali kukemea dhambi mpaka wanawafuta washiriki wao wanapokosea .? Dini zote hukemea uovu, labda Imani yako imekemewa sana na hao wasabato.
Biblia imesema samehe 7 X 70, mbona kama wasabato ni watu wa kuabudu wasiwasamehe hao wezi? Au biblia ya Sabato iko tofauti??
 
Wasabato wote wez tu ndo maana Vatican ilimfukuza mama yenu na baasha wake nabii wa kutabir mwisho wa dunia wa mchongo ..........
...........Watoto wa Catholic Church..........
Chuki hazina maana wakatoliki wanafundishwa upendo bila kujali mwingine anakuchukuliaje.

Usiwanange, wapende hata kama ni wezi
 
Nionyeshe Padre au askofu au papa ambaye Licha ya kutuhumiwa kujihusishanna matendo ya Ushoga, kubaka, na kulawiti watoto, wamewahi kufikishwa Mahakamani.


Kwa msioelewa Kanisa la Mungu la Sabato.

Siumeona hao majambazi walikua ndan ya Kanisa wamefikishwa mahakaman, maana yake tayari Kanisa limeshawavua ushirika.

Na hao watataabika Sanaa.
Huyu hapa mmoja wapo alifikishwa mahakamani:
Screenshot_20240928_181427_Chrome.jpg
 
Bikra Maria na maoni ya Ellen's GWht yapi ya kusadikii
Naomba uniambie ni maoni ya Ellen G White ambayo hayana msingi wowote kweny biblia na naomba pia unioneshe wapi tumeambiwa Bikra Maria ni mediator kati yetu na Mungu?
Aliyemtunza mtoto yesu mnazarau hana mchango wowote Daaah so sad
Wasabato hawamdharau Maria, hio umetunga tuu mzee, tunajua mchango wake katika kutimiza unabii wa kuzaliwa kwa yesu lakini umuhimu wake na heshima yake inaishia hapo. Hayo mambo mengine ni extra ambayo mmeyaongeza wenyewe.
 
Kwani unasali kwa kutumia maandiko au kwa mwongozo wa kanisa?
Broo lazima utumie maandiko, why?
Because the church is the product of scriptures, but the scriptures aren't the product of the church.

So we must shape our prayers and religious schedules depending on the scriptures.

Kiufupi ni kwamba, maandiko ndo yamezaa kanisa, so sala na utaratibu wote ndani ya kanisa yanakuwa shaped na maandika na si vinginevyo.
 
Hivi unajuwa maana ya Gregorian Calendar au Julian Calendar? Ungejuwa kuwa hizo siku za Jumamosi zilipangwa na hawa ma emperor wa Roman Empire.

Kabla ya karne ya 1 ya Calendar za kisasa unadhani Sabato yao ilikuwa sawa na hii ya leo?

Sabato ni siku yeyote ambayo dunia imeamua ni ya mapumziko.
Hii point ilishakuwa debunked mara nyingi tuu labda wewe sio mfuatiliaji, hata mimi nilishawahi kuwaelekeza watu flani humu ndani na wakanielewa vizur tuu.

Siku ya saba ya juma ni Jmosi, and this is a fact, wanahistoria wote wanakubaliana na hii point hata RC inajua kwamba siku ya saba ya juma ni Jmosi.

Mabadiliko yaliyofanyika kweny calendar are very well documented na hakuna kilichobadilika, Mungu kaziumba siku za wiki in a way that hata ufanyaje zitabaki kuwa vilevile, na hii ni moja kati ya sifa kuu za wiki ni kwamba huwez kucheza nayo kwa vyovyote, kutoka tarehe moja kwenda tarehe nyingine (kutokana na mabadiliko waliyofanya kweny calendar) hayabadilisha normal flow ya wiki, waliweza kubadilisha tarehe but the days are still the same, mfano wewe leo ubadilishe calendar useme leo ni tarehe 29 Sept kesho itakuwa tarehe 12 June, sawa utacheza na tarehe ila watu watahesabu normally kwamba leo ni J'pili kesho J'tatu, week days huwez cheza nazo kwasababu zimekuwa designed in a way that huwez kuzivuruga.
 
Mbona mnatusema sana?
😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Yesu alipochagua Wanafunzi 12 mmoja alikuwa Msaliti (Yuda Iskariot)! Na alikuwa Mwekahazina wa Yesu na Mwizi.
Kwa hiyo si kitu cha ajabu SDA pamoja na kujitahidi kuzishika Sheria hawezi kukosa akina Yuda.
Na siyo SDA hata madhehebu mengine Majizi hayakosi.
Mwisho kosa la Wachache halihesabiwi kama ni Kosa la dhehebu lote.
 
Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa

View attachment 3109363
Yaanii hapo wasabato hujiona ndio watakatifu zaidi madhehebu yoote....wako kwa Yeah kabisa wanadharau wengine......lakini unaingia ndani makanisa yao ni ufuska mtupu nenda magomeni ni ufuska mtupu kina Mjinja wanazaa tu wadada pale
 
Back
Top Bottom