Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Shetani alimuingilia siku ya Sabato. Hata Netanyahu ameingiliwa na Shetani na amemuua Kiongozi wa Hizbhollal leo siku ya Sabato.Kuna demu mmoja wa kijita nilisoma nae alikuwa msabato jmos ukipanga test jmos ugomvi anakuwa mkali kuwa ni sabato. Akaja kukamatwa anabinuliwa na warden siku ya sabato😆