Wizi wa kura wa mwaka 2019 na 2020 umesabisha CCM kichukiwe sana

Kwanza nikupe pole ndugu yangu.
Hili andiko lako nadhani umeliandika kwa mihemko au kuna watu wamekushikia kaa la moto ndipo ukaamua kuandika haya.

Hivi aliyekuambia kua kuna mgombea aliibiwa kura nani? Na je aliibiwa na nani na kwa maslahi ya nani? Unadhani sera za kutetea ushoga zinaweza kupambana na sera za kuleta Maendeleo?

Hebu angalia mtu leo aliyekua akikaa foleni zaidi ya Saa tatu kutoka Kibaha Hadi Ubungo au Ubungo Hadi Mbezi leo utamuambia nini asikipigie kura mgombea wa CCM.

Miundombinu mingi imeimarishwa, usafiri wa barabara, anga na majini uko vizuri kila kona. Afuneti mtu aliibiwa kura. Tena ingebidi hata mgombea mwenyewe angeibiwa tu maana hakua na anachokinadi zaidi ya ushoga.

Matendo yenu yamewahukumu Kaeni kwa kutulia 2025 sio mbali saaana mkijipanga huenda mkaweza. Maanankilionfhidi ya Tume hakiwasaidii tafuteni ushawishi na muwe na wapiga kura wa kweli sio matapeli kama ninyi. Mwisho badala ya kutaka WAPIGAKURA HURU.
CCM sanduku lao la kura ni TISS na Polisi, bila hao, mapema tu asubuhi hawapo.
 
Tatizo ni hekaya za kila siku zisizo na ushahidi.
Tungo hizi tushaziskia saaana
Mkitaka kushinda Uchaguzi hata wa kijiji wekezeni kwa wananchi sio mitandaoni.
Kura hazipo social media. Mnajua sababu za kushindwa sio CCM, wala NEC, wala TISS!!
Sababu za kushidwa uongo na ubinafsi wa viongozi wenu!
Wewe unaishi Dunia ya peke yako kama unadhani Magufuli alichaguliwa kwa kura za wananchi
 
Kwanza nikupe pole ndugu yangu.
Hili andiko lako nadhani umeliandika kwa mihemko au kuna watu wamekushikia kaa la moto ndipo ukaamua kuandika haya.

Hivi aliyekuambia kua kuna mgombea aliibiwa kura nani? Na je aliibiwa na nani na kwa maslahi ya nani? Unadhani sera za kutetea ushoga zinaweza kupambana na sera za kuleta Maendeleo?

Hebu angalia mtu leo aliyekua akikaa foleni zaidi ya Saa tatu kutoka Kibaha Hadi Ubungo au Ubungo Hadi Mbezi leo utamuambia nini asikipigie kura mgombea wa CCM.

Miundombinu mingi imeimarishwa, usafiri wa barabara, anga na majini uko vizuri kila kona. Afuneti mtu aliibiwa kura. Tena ingebidi hata mgombea mwenyewe angeibiwa tu maana hakua na anachokinadi zaidi ya ushoga.

Matendo yenu yamewahukumu Kaeni kwa kutulia 2025 sio mbali saaana mkijipanga huenda mkaweza. Maanankilionfhidi ya Tume hakiwasaidii tafuteni ushawishi na muwe na wapiga kura wa kweli sio matapeli kama ninyi. Mwisho badala ya kutaka WAPIGAKURA HURU.
Usijijaze UJINGA. Magufuli aliiba uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020 kwa kutumia NEC, TISS na Police.

Angalia hata Bunge aliloliacha, siyo Bunge bali kundi la watu fulani wanakaa Dodoma kula Kodi zetu
 
Wewe unaishi Dunia ya peke yako kama unadhani Magufuli alichaguliwa kwa kura za wananchi
Kuukataa huu upuuzi wako ndio kuishi dunia ya pekeangu?
Hiyo dunia ya pekeangu inawezaje kukuruhusu wewe kushiriki mjadala na mimi?
Kajipange uje na hoja zenye mantiki sio kutuandikia vijihadithi visivyo na kichwa wala miguu
 
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini.

TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki.

Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa uchaguzi wa 2015 nao Edward Lowassa alimshinda, ila TISS kupitia Kapilimba akiwa NEC enzi hizo na Team ya Kinana na Nape na Januari Makamba wakiwa Masaki ndiyo walioiba kura kwenye mtandao na kumfanya aonekane ameshinda.

This time October 2020, Magufuli aliamua kuiba kura kupitia TISS, Police na NEC kwa kuchapisha kura FEKI pale Jamana Printers. Then vijana wakawka Kambi pale Mbweni kwa ajili ya ku-tick. Na DSOs wakatumika kutumbukiza kura hizo kwenye masanduku ya kura.

Magufuli alijua kama zingehesabiwa moja moja hata ule wizi wa mtandao usingeweza kuiba kiasi anachotakiwa kumpita Lissu.

Itoshe kusema kisiasa CCM inachukiwa sana na wananchi kwa matendo maovu ya Magufuli ya miaka 5 iliyopita hususan;
-Kumpiga Lissu risasi akiwa bungeni
- Kubomoa nyumba za wananchi wa ubungo kupisha barabara bila kuwafidia
-Kuwa na kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya MAKONDA kilichokuwa kinateka na kuua watu
  • Kuwatoa wafanyakazi wa "vyeti feki" huku yeye mwenyewe Magufuli akiwa na PhD feki na Makonda wakiwa na vyeti feki
  • Kutotoa nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi
  • Kupeleka miundombinu mikubwa kwao Chato
  • Kukataa wazi wazi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na UPINZANI
Kuwatoa wafanyakazi wa "vyeti feki" huku yeye mwenyewe Magufuli akiwa na PhD feki na Makonda wakiwa na vyeti feki

[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
Siwezi kusemea sehemu nyingine za nchi kuhusu uchaguzi, huku kwetu Hai chaguzi zoootee zimewakilisha matakwa ya wana Hai.
Matokeo ya chaguzi zote ni sahihi na ndio wananchi tulivyotaka.

Mgombea mmoja alifikia akiita watu mkutano wake wanaokuja kati ya 5 mpaka 10. Kwisha kabisaaaaaaaaa.
Gerald .M Magembe Mara nyingine watendee haki wazazi wako wajisikie walizaa binadamu na siyo zombie.

Kweli unaamini Hai kulikuwa na uchaguzi?
 
TISS wa wenzetu wapo bize kuiba fursa za uchumi mataifa ya nje Ili kujenga kwao na sio bize kupanga wizi wa kura.
China ukiimport chochote toka nje ya nchi maadamu tu kinakwenda boost uchumi wao na kodi unasamehewa au punguziwa kabisa.
Ingefaa magari,mitambo na chochote kinachokuja kukuza uchumi wetu kiruhusiwe kuingia bila kodi.
Kodi itajilipa indirect kwenye profit ya mzunguko.
 
Kuwatoa wafanyakazi wa "vyeti feki" huku yeye mwenyewe Magufuli akiwa na PhD feki na Makonda wakiwa na vyeti feki
  • Kutotoa nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi
  • Kupeleka miundombinu mikubwa kwao Chato
  • Kukataa wazi wazi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na UPINZANI
[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
Ishu ya vyeti feki ilikuwa ni kumpooza machungu bashite kutokana na makombora ya rashid enzi za ndoa changa za maswaiba, ndumba zilipoexpire wakatosana.
 
Wabunge wote wa ccm Hakuna atakaerudi bungeni wengi awakupita bali waliletewa ubunge na magufuli
 
Usiishi kwa kukariri denooJ. Unakosoa panapoharibiwa na unapongeza palipofanywa vizuri
Labda wapo wengine wanaokuelewa niwaache wachangie mada ila mimi nakuona unajichanganya sana, hujui ila unajiamini kwenye ujinga wako.

Kwamba unamkosoa Mbowe kwa kudai Katiba Mpya wakati Samia kasema isubiri kwanza, halafu bado unalaumu faulo zilizofanyika wakati wa uchaguzi kwa kudai haukuwa huru na haki.

Unadhani ukikaa uwasubiri mpaka wawe tayari huo uchaguzi nao utakusubiri? hujawahi kusikia wakisema mwisho wa uchaguzi mmoja ndio mwanzo wa uchaguzi unaofuata?

Mimi kwa upande wangu sioni chochote unachosema kilifanywa vizuri, zaidi nakuona kama mtu usiejua unachopigania, na uko tayari kupangiwa na adui zako muda gani uanze vita inayowahusu.
 
Bado unaendelea kuonesha ulivyo ndumilakuwili, kwako suala la kudai haki linahitaji "timing" halafu unakuja hapa kulia lia CCM waliiba kura, nikisema nawe haya madai yako hayana maana coz umekosea "timing" nitakuwa nakosea?!
Mleta mada ni pumbavu tu tena chawa wa Samia!

Kwa akili yake anaamini ccm ya kabla ya Magufuli iliuwa inapendwa sana na wanachi.

Huyu takuwa kazaliwa miaka ya juzi juzi ty hapa.
. Hajui kama kuna kipindi ilikuwa ukipita na nguo ya ccm pale kariakoo unazomewa! Hajui!
 
Labda wapo wengine wanaokuelewa niwaache wachangie mada ila mimi nakuona unajichanganya sana, hujui ila unajiamini kwenye ujinga wako.

Kwamba unamkosoa Mbowe kwa kudai Katiba Mpya wakati Samia kasema isubiri kwanza, halafu bado unalaumu faulo zilizofanyika wakati wa uchaguzi kwa kudai haukuwa huru na haki.

Unadhani ukikaa uwasubiri mpaka wawe tayari huo uchaguzi nao utakusubiri? hujawahi kusikia wakisema mwisho wa uchaguzi mmoja ndio mwanzo wa uchaguzi unaofuata?

Mimi kwa upande wangu sioni chochote unachosema kilifanywa vizuri, zaidi nakuona kama mtu usiejua unachopigania, na uko tayari kupangiwa na adui zako muda gani uanze vita inayowahusu.
Wenye akili hawakurupuki kama akina Mbowe, huhitaji muda watafakari kwanza. Kumbuka Mbowe alikuwapo kwenye Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014/15 na yeye anakumbukwa sana kwa kuwaongoza UKAWA kutoka ndani ya Bunge.

Akili iliyotumika kutomalizia Katiba haiwezi kutuongoza kudai Katiba. Hata yule mwanafalsafa Albert Einstein anasema; "Problems will never be solved by the same mind that created them"

Raia kakuambia nipe muda, kwa nini usiheshimu madaraka yake angalao kwa mwaka mmoja ndiyo uje uanze.

Wewe denooJ huwezi kunielewa kwa kuwa mimi siko CCM wala CDM, napiga kote kote. Wewe akili yako imefungamana na CHADEMA..Na tatizo lenu hakuna mtu mwenye kufikiri tena, akikosea yeye ndiyo imetoka hiyo.
 
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini.

TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki.

Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa uchaguzi wa 2015 nao Edward Lowassa alimshinda, ila TISS kupitia Kapilimba akiwa NEC enzi hizo na Team ya Kinana na Nape na Januari Makamba wakiwa Masaki ndiyo walioiba kura kwenye mtandao na kumfanya aonekane ameshinda.

This time October 2020, Magufuli aliamua kuiba kura kupitia TISS, Police na NEC kwa kuchapisha kura FEKI pale Jamana Printers. Then vijana wakawka Kambi pale Mbweni kwa ajili ya ku-tick. Na DSOs wakatumika kutumbukiza kura hizo kwenye masanduku ya kura.

Magufuli alijua kama zingehesabiwa moja moja hata ule wizi wa mtandao usingeweza kuiba kiasi anachotakiwa kumpita Lissu.

Itoshe kusema kisiasa CCM inachukiwa sana na wananchi kwa matendo maovu ya Magufuli ya miaka 5 iliyopita hususan;
-Kumpiga Lissu risasi akiwa bungeni
- Kubomoa nyumba za wananchi wa ubungo kupisha barabara bila kuwafidia
-Kuwa na kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya MAKONDA kilichokuwa kinateka na kuua watu
  • Kuwatoa wafanyakazi wa "vyeti feki" huku yeye mwenyewe Magufuli akiwa na PhD feki na Makonda wakiwa na vyeti feki
  • Kutotoa nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi
  • Kupeleka miundombinu mikubwa kwao Chato
  • Kukataa wazi wazi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na UPINZANI
Hata sasa hivi ukifanyika uchaguzi wa huru na haki CCM wanaondoka madarakani.
 
Hata wanaccm wenyewe hawakupenda kuaibika vile. Ushindi wa kulazimisha kwa Ugoko haunogi
 
CCM haijawahi kupendwa. Wakongwe anakumbuka kuwa 1995 Maalim alishinda uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi Zanzibar. Chombo kimoja cha habari kikamtangaza mshindi. Matokeo yalipindiliwa na chombo hicho kikaadhibiwa kwa kutangaza ukweli.
 
Siwezi kusemea sehemu nyingine za nchi kuhusu uchaguzi, huku kwetu Hai chaguzi zoootee zimewakilisha matakwa ya wana Hai.
Matokeo ya chaguzi zote ni sahihi na ndio wananchi tulivyotaka.

Mgombea mmoja alifikia akiita watu mkutano wake wanaokuja kati ya 5 mpaka 10. Kwisha kabisaaaaaaaaa.
mnafiki mkubwa
 
Wenye akili hawakurupuki kama akina Mbowe, huhitaji muda watafakari kwanza. Kumbuka Mbowe alikuwapo kwenye Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014/15 na yeye anakumbukwa sana kwa kuwaongoza UKAWA kutoka ndani ya Bunge.

Akili iliyotumika kutomalizia Katiba haiwezi kutuongoza kudai Katiba. Hata yule mwanafalsafa Albert Einstein anasema; "Problems will never be solved by the same mind that created them"

Raia kakuambia nipe muda, kwa nini usiheshimu madaraka yake angalao kwa mwaka mmoja ndiyo uje uanze.

Wewe denooJ huwezi kunielewa kwa kuwa mimi siko CCM wala CDM, napiga kote kote. Wewe akili yako imefungamana na CHADEMA..Na tatizo lenu hakuna mtu mwenye kufikiri tena, akikosea yeye ndiyo imetoka hiyo.
Unapiga vipi kote kote wakati unalalamika uchaguzi Tz hauko fair halafu at the same time yule anayepigania kuondoa hali hiyo unamuona anakosea kwasababu hakutii kauli ya anayewanyima haki yao?

Simply wewe ni goigoi usiejua unachopigania.

Siku zote niko upande wa haki bila kujali itikadi, muda, sura, etc ila wewe kutambua hili kwa huo upeo wako bado sana.
 
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini.

TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki.

Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa uchaguzi wa 2015 nao Edward Lowassa alimshinda, ila TISS kupitia Kapilimba akiwa NEC enzi hizo na Team ya Kinana na Nape na Januari Makamba wakiwa Masaki ndiyo walioiba kura kwenye mtandao na kumfanya aonekane ameshinda.

This time October 2020, Magufuli aliamua kuiba kura kupitia TISS, Police na NEC kwa kuchapisha kura FEKI pale Jamana Printers. Then vijana wakawka Kambi pale Mbweni kwa ajili ya ku-tick. Na DSOs wakatumika kutumbukiza kura hizo kwenye masanduku ya kura.

Magufuli alijua kama zingehesabiwa moja moja hata ule wizi wa mtandao usingeweza kuiba kiasi anachotakiwa kumpita Lissu.

Itoshe kusema kisiasa CCM inachukiwa sana na wananchi kwa matendo maovu ya Magufuli ya miaka 5 iliyopita hususan;
-Kumpiga Lissu risasi akiwa bungeni
- Kubomoa nyumba za wananchi wa ubungo kupisha barabara bila kuwafidia
-Kuwa na kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya MAKONDA kilichokuwa kinateka na kuua watu
  • Kuwatoa wafanyakazi wa "vyeti feki" huku yeye mwenyewe Magufuli akiwa na PhD feki na Makonda wakiwa na vyeti feki
  • Kutotoa nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi
  • Kupeleka miundombinu mikubwa kwao Chato
  • Kukataa wazi wazi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na UPINZANI
Point tatu za msingi
1. CCM hawajaanza kuiba kura 2019 wala 2020. Wizi wa kura upo kwenye DNA ya CCM. Waliiba kura 1995, 2000 (na kusababisha mauaji Zanzibar), 2005 (mtandao wa jk kazini), 2010 (kitengo wakalazimika kukanusha hadharani kuwa hawajaiba kura), 2015 (hapa kosa kubwa lilikuwa kwa upinzani kumsimamisha kada wa CCM Lowassa) na hiyo 2019 na 2020. Na wataiba kura tena 2025.
2. Mtu anapoibiwa halafu anaishia kulalamika tu kuwa ameibiwa, haina tofauti na anayekaa kimya baada ya kuibiwa. Wapinzani waeleze wamefanya wamefanya nini dhidi ya wizi huo mfulilizo?
3. Mapungufu ya CCM sio uimara wa upinzani. Moja ya sababu za CCM kibaki madarakani miaka mingi ijayo, apart from huo wizi wa kura, ni kukosekana kwa credible opposition. Let's face it, chama ambacho ukipishana nao tu mtazamo inakuwa halali kwao kutukana, kikikabidhiwa dhamana ya nchi kitakuwa na tofauti gani na CCM?
 
Unalaumu wapinzani bila kushauri nini kifanyike ili waimarike.Wewe mwenyewe upo ughaibuni hutaki kurudi ila unataka sisi tuliopo huku tufanye kitu tuvunjwe viuno.watanzania niwaelewa sana tutaendelea kupinga ccm kwa njia ya kura hadi pale watakapochoka kuiba kura.
 
Back
Top Bottom