Wizi wa kura wa mwaka 2019 na 2020 umesabisha CCM kichukiwe sana

Unataka wapinzani waende mahakama ipi madai yao yakasikilizwe? au hizi za kuwafundisha mawakili wa serikali nini waseme? na kuwalinda kina Kingai?

Wakidai Katiba Mpya unasema hawajui wanachopigania, wao ni kikundi kidogo cha watu, sijui unataka madai yao yaanzie wapi ambapo wengi wataibuka kwa pamoja.
 

Bado unapambana na marehemu. Hivi wewe asingechaguliwa JPM angechaguliwa nani. Unatia kinyaa. Andika kuhusu hata familia yako Basi.
 
Soma pita kama huoni, hii siyo saizi yako

Kweli maana sio Kwa upumbavu huo. At least 2010 Slaa alikuwa genuine Lakini baada ya Hapo hakuna wala hakukuwa na wa kupambana na JPM. Unajidanganya kiupumbavu ndo mana jamaa Ana haki kusema hivyo. It’s so stupidly written mpaka nashangaa Shida kutaja JPM tu. Unaweza mwombea tu Ni binadamu kama wewe. Sema yeye tulimfahamu kidogo. Je wewe na makosa yako ya ajabu. Na Siri ya kweli kabisa Ni kuwa waandikaji wa maovu ya wengine Ni wakosaji wakubwa tena Aibu yakitokea hadharani.

Jf Ina watu wa ajabu sana.
 
Hai ile iliyokuwa chini ya Sabaya na yule kamanda wa polisi aliemwambia Mbowe hawezi kushinda?

Siku nyingine tumia akili kidogo kufikiri kabla hujaandika comment yako.

Ona argument ya kijinga kabisa. Sasa nani atumie akili kusema ya nyumbani kwake. Wewe ndo unatumia fallacy kutoa comment ya kijinga kutokea since the creation of the first human being with a will and intellect. Eti kwamba lazima Ku comment. Huna pro and cons katika arguments zako , iwe jua au mvua kwako Wewe una Code na majibu ya maswali ya Jana na ya Leo na ya kesho . No doubt in your mind. Doubt and wondering bringt wisdom. Stop being like a dog whose day pass without a positive idea but what the day offers.
 
Hakuna muungwana na mzalendo yeyote anayejitambu anayeweza kuwa ndani ya ccm.
Tanzania ya
Tanganyika na Zanzibar haiwezi kujongea kokote chini ya maccm hata kama watatawala kwa karne nzima.
Tunahitaji Katiba ya wananchi ili tujitawale na kuwachagua viongozi wetu kwa utaratibu tutakaoamua wenyewe,tusikubali kuisoma namba maana hii ni nchi yetu sote.
 
Vipi kunywa maji mengi ukatulie chini ya mti wa kivuli pressure uliyonayo ikushuke.

Then ukitoka hapo tafuta news za malalamiko ya Sabaya anavyolia kutupwa na CCM licha ya "kukipigania" kwa nguvu zake zote.

Wale walevi wa gongo waliokuwa wanafanya fujo kwenye mikutano ya Chadema wako wapi siku hizi?
 
Hata wanaccm wenyewe hawakupenda kuaibika vile. Ushindi wa kulazimisha kwa Ugoko haunogi
Dunia mzima watu wanaiba kura, hata USA lakini wanaiba kati ya asilimia 3-5 tu. Huyu aliibabza uRais 50% ndiyo kuchanganya na ya kwake ya ukweli ile 30% akadai kashinda kwa 80%.
Wenzie wanaiba kura za uRais tu za ubunge hawahangaiki. Lakini dikteta alianza kuiba Serikali za Mitaa, akaja ubunge halafu uRais. Mungu HAKUPENDA, kamfurusha
 
MImi Niko upande wa hekima, hiyo ndiyo tofauti yetu Mimi na wewe
 
Ule wizi haupo mahali popote. Wizi uliambatana na kupoteza roho za watu. Watu wengi wamebaki walemavu na maumivu ya kudumu sababu yake.

Kimsingi bila wizi ule asingekuwa rais. Maji yalimfika shingoni.
 
hahaha wamepoteana. Wengi wanahisi huenda wakaunganishwa kwenye kesi ya Sabaya wametoroka mkoa
 
Huu ni ukweli wote. Kiukweli kipomo cha Utu hata sasa tazama huyo mtu yuko upande gani kisiasa. Ukiona Upande wa ccm my friende be careful na huyo mtu.
 
MImi Niko upande wa hekima, hiyo ndiyo tofauti yetu Mimi na wewe
 
Bado unaendelea kuonesha ulivyo ndumilakuwili, kwako suala la kudai haki linahitaji "timing" halafu unakuja hapa kulia lia CCM waliiba kura, nikisema nawe haya madai yako hayana maana coz umekosea "timing" nitakuwa nakosea?!
Huu mwandiko na maswali yako mbona km Ni kibatala wewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…