jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko
Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini.
Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi wakiwa na dhana ya hata ukipiga kura zinaibiwa kisha wanatangazana wao tu.
Mnatia aibu mnavyolazimisha mkubalike,serikali za mitaa ndio msingi wa siasa za kidemokrasi acheni wanachi wachague wanao wapenda na kuwaamini.
Hii nchi ya demokrasia na vyama vingi acheni maigizo.
Soma Pia: Asiyepiga kura, Hana HAKI ya kuhoji wizi wa kura, tujitokeze 2024&2025 kupiga kura na kuzilinda