Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Hawa wezi walikuwa ni miongoni mwa abiria? Kama walikuwa sio miongoni mwa abiria basi ABC walikuwa wamezembea sana.

Ninavyojua ABC huwa hasimami ovyo kwenye vihotel uchwara(sijajua kwa route ya Iringa, Mbeya, Mafinga na Njombe) ila route ya Dom, Singida huwa wanasimama sehemu maalumu( Kwenye Hotel yao Moro, na Kituo chao Dom, area C) na wakisimama huwa wanafunga milango pindi abiria wakishuka wote.

Sasa sijui walikwama vipi kama ni wao ABC ndio wametokewa na hilo tukio...
 
Yaani watu wanatoka kwao wamependeza wanaenda kuiba.
Eti jamaniii...kuna siku asubui tuu mtu kafungua duka akatoa mitungi ya gas nje huku yuko ndani anaendelea kutoa...akapita kaka mmoja yuko vzr tuu akauchukua mtungi mdog kama wake yule dada alisikia ki kelele fulani ndo kutoka ghafla akaanza mwizi mwizi yule kaka,akautupa kumbe ulikua empty... nikashangaa how such a handsome and smart guy anaiba angeshikwa na kuuwawa je?
 
Angalia video hii, kama unawatambua toa taarifa upate zawadi yako ya Tsh. laki 5.

Wakikamatwa na wananchi wenye hasira kali na kuwachinja kama mbuzi au kuwachoma na tairi with petrol..............

Mnaanza kulalamika mara katiba ya nchi mara haki za binadamu.....

All in all
Wezi wakithibitika ni kumalizwa then inakua fundisho...
 
Eti jamaniii...kuna siku asubui tuu mtu kafungua duka akatoa mitungi ya gas nje huku yuko ndani anaendelea kutoa...akapita kaka mmoja yuko vzr tuu akauchukua mtungi mdog kama wake yule dada alisikia ki kelele fulani ndo kutoka ghafla akaanza mwizi mwizi yule kaka,akautupa kumbe ulikua empty... nikashangaa how such a handsome and smart guy anaiba angeshikwa na kuuwawa je?
Usikute ameamka asubuhi njaa inamuuma akiangalia gesi imeisha maskini wa Mungu 😃😃
 
Back
Top Bottom