Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Tufundishe vijana namna ya kutunza vitu muhimu kama nyaraka za vyeti na Laptops haswa wakati wa safari. Sijawahi kuweka begi langu lenye kitu chochote cha muhimu kwenye carrier ya bus, ni lazima niwe nalo mapajani muda wote bila kuzingatia umbali wa safari wala kushuka sehemu ya kula, lazima bag niwenalo.
 
Na kwny mabus huwa wanasisitiza sana jambo hili..ukae na vitu vyako vya thamani
 
s
Eti jamaniii...kuna siku asubui tuu mtu kafungua duka akatoa mitungi ya gas nje huku yuko ndani anaendelea kutoa...akapita kaka mmoja yuko vzr tuu akauchukua mtungi mdog kama wake yule dada alisikia ki kelele fulani ndo kutoka ghafla akaanza mwizi mwizi yule kaka,akautupa kumbe ulikua empty... nikashangaa how such a handsome and smart guy anaiba angeshikwa na kuuwawa je?
sasa kuwa handsome na wizi vina uhusiano gani mkuu. usije ukajiroga kufanya maamuzi kwa kuangalia sura za watu.
 
Back
Top Bottom