Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ya kweli hayo?Mb kikwazo
Jamani πππππUsikute hao wezi ni member humu
π€£π€£π€£π€£Jioni wanakuja humu kusifia dipi weldiJamani πππππ
Mbona dipi welidiπππππ€£π€£π€£π€£Jioni wanakuja humu kusifia dipi weldi
Mwizi rafiki yake mwizi chalianguMbona dipi welidiππππ
Wapatikate tu wakamatwe...msiache tu kutupa mrejeshoMwizi rafiki yake mwizi chaliangu
Kawakamate ww kama ni rahaπ€£π€£Wapatikate tu wakamatwe...msiache tu kutupa mrejesho
Mimi siwajuiππKawakamate ww kama ni rahaπ€£π€£
Eti jamaniii...kuna siku asubui tuu mtu kafungua duka akatoa mitungi ya gas nje huku yuko ndani anaendelea kutoa...akapita kaka mmoja yuko vzr tuu akauchukua mtungi mdog kama wake yule dada alisikia ki kelele fulani ndo kutoka ghafla akaanza mwizi mwizi yule kaka,akautupa kumbe ulikua empty... nikashangaa how such a handsome and smart guy anaiba angeshikwa na kuuwawa je?Yaani watu wanatoka kwao wamependeza wanaenda kuiba.
Wizi hua haufanywi na mtu mmoja hua ni mnyororo wa watu, hao unaowaona kwenye camera ni wale manyokaaa wa watekelezaji tu ila pwagu na pwaguzi mchora ramani ni wafanyakazi wa hlo basi na wanajua kila kituMimi siwajuiππ
Aisee ππππ€Wizi hua haufanywi na mtu mmoja hua ni mnyororo wa watu, hao unaowaona kwenye camera ni wale manyokaaa wa watekelezaji tu ila pwagu na pwaguzi mchora ramani ni wafanyakazi wa hlo basi na wanajua kila kitu
Nakubali kabisaWizi hua haufanywi na mtu mmoja hua ni mnyororo wa watu, hao unaowaona kwenye camera ni wale manyokaaa wa watekelezaji tu ila pwagu na pwaguzi mchora ramani ni wafanyakazi wa hlo basi na wanajua kila kitu
Wakikamatwa na wananchi wenye hasira kali na kuwachinja kama mbuzi au kuwachoma na tairi with petrol..............Angalia video hii, kama unawatambua toa taarifa upate zawadi yako ya Tsh. laki 5.
Usikute ameamka asubuhi njaa inamuuma akiangalia gesi imeisha maskini wa Mungu ππEti jamaniii...kuna siku asubui tuu mtu kafungua duka akatoa mitungi ya gas nje huku yuko ndani anaendelea kutoa...akapita kaka mmoja yuko vzr tuu akauchukua mtungi mdog kama wake yule dada alisikia ki kelele fulani ndo kutoka ghafla akaanza mwizi mwizi yule kaka,akautupa kumbe ulikua empty... nikashangaa how such a handsome and smart guy anaiba angeshikwa na kuuwawa je?