Acha Unafiki Serikali Ni Nani?Na Inawaogopa Kina Nani.
Unataka Kutuaminisha Kuwa Serikali Ni Nje Ya Chama Cha Mapinduzi? Mnataka Kubinafsisha Ili Pesa Iende Kwa Kikundi Kidogo Kuliko Sasa Wanavyokula Wengi.
CCM Kwa Ujumla Ndiyo Shina La Wizi Wote wa Raslimali Za Nchi Yetu.
Kama Kweli Mnaipenda Nchi Hii Kuweni Tayari Kutunga Sheria Ambazo Zinaanza Kumbana Rais Katika Maamuzi Na Utendaji Wake.
Ondoeni Kinga Kwa Viongozi Walioshika Nyazifa Za Miimili Mikubwa Kama Bunge Na Nyinginezo. Sheria Hizo Hizo Zishuke Mpk Kwa Wafanyakazi Wote Wa Serikali.