Bandari ya Dar ni ya tatu katika kuchangia mapato ya taifa. Hata kama kuna wizi basi tujitathimini kwa kutumia technolojia ya tehama !
No retreat .... kwa ulichoandika you need to surrender!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandari ya Dar ni ya tatu katika kuchangia mapato ya taifa. Hata kama kuna wizi basi tujitathimini kwa kutumia technolojia ya tehama !
Afisa mahusiano wa DP-WORLD nakusalimu kwa jina la bandari
Thanks your welcome in Tanzania but we're looking forward to change some Term and conditions of this contract according to our Citizens suggestions sorry for inconvenience .ASAPTZ-1, You are brilliant and thanks for supporting DP-WORLD and Development of Tanzania.
Thanks your welcome in Tanzania but we're looking forward to change some Term and conditions of this contract according to our Citizens suggestions sorry for inconvenience .ASAP
Mpyamngungu tena, punguza hasira mkuu😅😅😅Mpyamngungu
Dont Lie hereWorry not as I believe this should not take long and interfered by politician's and religion leaders! Appreciated.
Wewe mrembo ccm imetokea wapi tena. Hapa mjadala ni wa serikali wala sio vyama dadake
Thanks nimekuelewa but doesn't matter! Your the first lady for DP World in Tanzania. Hongera Sana.Serikali inayouza mali zetu ni serikali ya CCM. Wabunge mliowahonga ni wabunge wa ccm, bunge liliopitisha MoU kati ya Tz na DP-WORLD ni bunge la CCM. Sasa unataka kui exclude vipi CCM na huu uchafu?
BabuKijana! Hawa ndio wapinga maendeleo au ni mfanyakazi wa Bandarini DSM huyo!Mpyamngungu tena, punguza hasira mkuu😅😅😅
Kumbe ukiwa na ghara la chakula, halafu panya wakawa wanakula mazao yako.Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa ]
Pamoja na wizi, kuna taasisi za kidini zinafaidika mno na mfumo wa bandari ulivyo sasa kupitia exemption, mbali na taasisi hizo, kuna wafanyabiashara huutumia mwanya huo kwa kushirikiana na taasisi hizo na wafanyakazi wa bandari kujinufaisha.
Hawa lazima waogope wageni kuja hapo bandarini, na waendelee kung'ang'ania wazawa ambao wataelewa huu utamaduni wetu.
Taasisi na madhehebu yasiofaidika na mfumo uliopo bandarini hawaonekani kupinga ujio wa hawa wageni, ila wanataka kwa dhati marekebisho yafanyike kwenye vipengele vyenye utata kwa faida ya taifa.
Binti Peno! Hayo maswali yako kuna wahusika watakuja kujubu. Ila hapa ni mtake msitake DP World inakuja kuboresha uendeshaji wa Bandari.Kama serikali imekiri kushindwa kusimamia Bandari iliyoko pua na mdomo na Ikulu je itaweza kusimamia Mapato ya Halmashauri zaidi ya 180 nchini?
2. Itaweza kusimamia na kudhibiti uchimbaji na uuzaji wa madini?
3. Je itaweza kusimamia mbuga za wanyama?
4. Itaweza kusimamia mikoa 30
5. Itaweza kusimamia Ikulu ya magogoni na chamwino na ikulu ndogo za mikoani?
6. Itaweza kusimamia watumishi nchi nzima na mfumo wa ajira?
7. Inaweza kusimamia majanga mfano corona na milipuko mingine?
Kwa kifupi CCM ijiandae kuondoka 2025 au kama inataka kuendelea kubaki madarakani itafute mgombea mwenye misuli ya kusimamia nchi na raslimali zake.
Binti Peno! Hayo maswali yako kuna wahusika watakuja kujubu. Ila hapa ni mtake msitake DP World inakuja kuboresha uendeshaji wa Bandari.
Yupo hapo😅🤣🤣BabuKijana! Hawa ndio wapinga maendeleo au ni mfanyakazi wa Bandarini DSM huyo!
Nina uwezo ninaomba Magogoni na SGRBado ATCL na mashirika mengine yasiyo na tija yatauzwa au kupewa wawekezaji. Hata kama wewe Peno una uwezo utapata. Lengo ni serikali kuongeza mapato na kujitoa kwenye biashara na kuboresha huduma za jamii
Sitakujibu moja kwa moja....ilaMkuu naomba kuuliza unapinga uwekezaji au Namna ya uwekezaji?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app