peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ninakijua.
sasa wananchi hawana tena imani na serikali wala vyama vya siasa .
Ni miaka 60 tangu tumepata uhuru tunatwanga maji na kinu.
Next JW waongee ili tuweze kutoka tulikokwama kwa miaka 60.