Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

Ninasubiri kauli za mzee Warioba, Butiku , JK kama ataongea kwa sababu kapiga ukimya hadi raha.
Peno mimi mbona nakuona wewe una maono mazuri kuliko wao, kumbuka wewe ulnaituhumu ccm na hao ndio wadau wa ccm wewe unafikiri watakuwa na tofauti.

Pia kumbuka hao ni binadamu na Raia tuu kama wewe.

Nakuheshimu acha kujidharau dadangu!
 
bandari inawanufaisha dini ya kikiristo kupitisha mizigo yao ya biashara kwa mgongo wa dini na husamehewa kulipa kodi na pia kuna familia zao wameziweka bandari na kupinga pesa ndefu ndio maana kufikishwa mahakamani ni shida, mama kaona kuwakomesha hawa ni kumpa mwekezaji ili serikali ipate mapato yake
 
Oooh, mbona hujaweka picha za goba na mbweni ambazo ni mateko ya miaka kama kumi tu.

Huoni uko biased?

Nimekuuliza JW mkiichoka mtaitoaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
JW ituletee amani ya maendeleo , upendo wa maendeleo na utulivu wenye maendeleo, wafute umaskini, walete ajira zenye tija, umeme na maji bure kwa wananchi wake.
Watawale milele
 
bandari inawanufaisha dini ya kikiristo kupitisha mizigo yao ya biashara kwa mgongo wa dini na husamehewa kulipa kodi na pia kuna familia zao wameziweka bandari na kupinga pesa ndefu ndio maana kufikishwa mahakamani ni shida, mama kaona kuwakomesha hawa ni kumpa mwekezaji ili serikali ipate mapato yake
Uliowataja kuwa wanafaidika ndio wenye serikali na walio wengi ndio wapiga kura wa kuunda serikali.
 
Kwanini wezi hawafikishwi mahakamani?
Kulea wezi, wazembe na wabadhirifu ni mfumo rasmi wa CCM ulioasisiwa tangu enzi za Nyerere. Haribu hapa, tukuhamishie kule
Watz nyie ni wagumu Sana kuelewa, state organisation Vs private organisations, sofa kuu za state organisation ni ubadhirifu na uwajibikaji zero ndomana ulaya tangu mwaka 47 walianza kubinafsisha state organisations, so elewa kwamba hata aje malaika kuongoza nchi hawezi akabadili chochote, the only option is privatisation.
 
Tunawataka DP World ila sio kwa mkataba huu mbona hamsikii lakin achen kuruka ruka kama maharage jikon.

Kuna maslah gan kwako kutetea wao kupewa chini ya mkataba huu.
Watu wanazunguka zunguka tu eti dini, kabila, mwarabu, wizi, n.k. Mwisho wa siku wanajisahaulisha hoja ya Watanzania kuwa ni MoU isiyokuwa na kikomo.
 
Mikoba ya kwenda nayo Bandari ili DP World waikimbie Bandari ni hii hapa.
 
Attachments

  • 968ECE1F-60B5-4997-AC4D-BDB57E2908D1.jpeg
    968ECE1F-60B5-4997-AC4D-BDB57E2908D1.jpeg
    69.5 KB · Views: 2
Ndio mmekuja kivingine? Kwahiyo kila idara yenye wizi mtaibinafsisha kwa mikataba ya aina hiyo? Endeleeni tu!
Pengine mpaka pale tutakapojifunza kuacha ubadhilifu kupitia DP World lakini tukiendelea kufanya ubadhilifu basi Serikali itatunyang'anya miradi yake mikubwa
 
Sawa, Kwa hiyo tutegemee wafanyakazi Bandarini kukosa kazi, kwani wamesema asilimia 60 na ushee itakuwa ni wageni ambao wanategemea kuondolewa ushuru, tozo, sijui na vimbwanga gani ili waweze kufanya kazi kwa "Ufanisi" tunashindwa nini kuwafanyia wafanyakazi wetu....yaani kuwapatia motisha hizo hizo tunazokwenda kutunga sheria kwa ajili ya DP?

Serikali imesema mapato Asilimia karibia ya 40 yanatoka bandarini, tuliambiwa, Royal tour itaongeza mapato, tumesherehekea TRA kuongeza mapato, tumesherehekea Ugawiaji wa "gawio" za mashirika tena tumaambiwa hazina shuruti, tumeambiwa baada ya mikopo iliyokopwa kuwa itasaidia serikali kuboresha maeneo ya kuongezea vipato vya serikali... sasa hizi haraka za nini? Kwanini tusisubiri matunda ya uwekezaji wa kodi za Wananchi?
Wafanyakazi wabadhilifu watajifunza. Dr Magufuli alipiga sana kelele pale lakini hawakuacha ubadhilifu ndio maana wamenyang'anywa na Serikali
 
Sawa, Kwa hiyo tutegemee wafanyakazi Bandarini kukosa kazi, kwani wamesema asilimia 60 na ushee itakuwa ni wageni ambao wanategemea kuondolewa ushuru, tozo, sijui na vimbwanga gani ili waweze kufanya kazi kwa "Ufanisi" tunashindwa nini kuwafanyia wafanyakazi wetu....yaani kuwapatia motisha hizo hizo tunazokwenda kutunga sheria kwa ajili ya DP?

Serikali imesema mapato Asilimia karibia ya 40 yanatoka bandarini, tuliambiwa, Royal tour itaongeza mapato, tumesherehekea TRA kuongeza mapato, tumesherehekea Ugawiaji wa "gawio" za mashirika tena tumaambiwa hazina shuruti, tumeambiwa baada ya mikopo iliyokopwa kuwa itasaidia serikali kuboresha maeneo ya kuongezea vipato vya serikali... sasa hizi haraka za nini? Kwanini tusisubiri matunda ya uwekezaji wa kodi za Wananchi?
Waoga wa mabadiliko msihofu ajira zenu zipo salama, hata DP world akianza kazi asilimia 90 ya wafanyakazi mtakuwa ni watz hizo anazopiga ni mboyoyo tu.
 
Tunawataka DP World ila sio kwa mkataba huu mbona hamsikii lakin achen kuruka ruka kama maharage jikon.

Kuna maslah gan kwako kutetea wao kupewa chini ya mkataba huu.
Huo ni mkataba wa awali yaani memorandum of association so unaelezea mambo Kwa juu tu kuwa tunakubaliana kufanya shughuli za bandari basi, then inakuja sasa articles of association ambayo sasa itaeleza haki za Wanahisa, kazi na wajibu we board ya wakuregenzi, mgawanyo wa hisa na kadha wa kadha
 
Acha waibe wazalendo, pesa itazunguka nchini.

Kuhamisha kabisa pesa yetu yaani sasa watanzania wakawatumikie waarabu kwa malipo kiduchu na mijeledi,

Hapana. Tunataka bandari.
Huo ni uoga wa mabadiliko, mkataba wa awali tunakuja mkataba wa pili ambao utapelekea DP world akajisajili Kwa brela then to DSE huko hata wewe unaweza kuwa sehemu ya umiliki.
 
Huo ni uoga wa mabadiliko, mkataba wa awali tunakuja mkataba wa pili ambao utapelekea DP world akajisajili Kwa brela then to DSE huko hata wewe unaweza kuwa sehemu ya umiliki.
Kilichojadiliwa bungeni kinaitwa nini?
Kwanini wakiupeleka bungeni?
Tusipofunguka bunge lilipitisha kwa niaba ya wananchi hivyo mkataba unakuwa ni wananchi wamekubali.
Ukataeni huo mkataba tunaibiwa
 
Back
Top Bottom