Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

Pengine mpaka pale tutakapojifunza kuacha ubadhilifu kupitia DP World lakini tukiendelea kufanya ubadhilifu basi Serikali itatunyang'anya miradi yake mikubwa
Unakumbuka uchaguzi mkuu 2020 ccm ilifanya nini? Kinaitwa ubadhilifu au la?
Zilitumika Tsh ngapi kwenye uchaguzi huo ? Sio ubadhilifu huo?

Eneo lenye shida Tanganyika ni CCM, MUUNGANO NA KATIBA.
 
Ubadhilifu ndio tatizo kubwa
 
Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini.

Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati mapato sahihi ya bandari hiyo kwani fedha hizo zimekuwa zikidhulumiwa tangu kipindi cha Mwl Nyerere na hata alipokuja Dr Magufuli wizi huu ulimkera sana na kujaribu kuchukua hatua ambazo hazikuzaa matunda.

Watanzania tujitoe boliti kwenye macho yetu ndipo tumnyooshee kidole raisi Samia Suluhu Hassan pamoja na Serikali kwa uamuzi waliochukua.

Watanzania tujiulize je tumekuwa tukipeleka mapato sahihi serikalini kama tulivyopaswa kufanya? Je hatukuwa tukidhulumu wateja wanaoagiza mizigo kupitia bandari hiyo? Lengo la Serikali kuleta wawekezaji DP World ni kupata mapato makubwa kwasababu ya uendeshaji wao mzuri wa bandari usiokuwa na hujuma.

Kama kusingekuwa na wizi na ubadhilifu unaofanyika bandarini basi Serikali isingewakumbuka wawekezaji wa nje ya nchi.

Watanzania tujifunze kuacha hujuma kupitia uamuzi huu wa DP World kwenye mali za Serikali kwasababu kadiri itakavyozidi kukosa mapato sahihi ndipo itazidi kualika wawekezaji kutoka nje ya nchi yetu ili wasimamie kwa haki.

Reference:

Utagundua kuwa uongozi mbovu wa nchi ndio tatizo, kwanini serikali isidhibiti wizi huo? Au wameshindwa?
 
Wameshindwa kwasababu wezi ni wengi sana, Magufuli alijitahidi kwa kiasi chake lakini alishindwa
 
Kilichojadiliwa bungeni kinaitwa nini?
Kwanini wakiupeleka bungeni?
Tusipofunguka bunge lilipitisha kwa niaba ya wananchi hivyo mkataba unakuwa ni wananchi wamekubali.
Ukataeni huo mkataba tunaibiwa
Kilichojadiliwa bungeni ni memorandum of association hatua inayofuata ni article of association ambao ndo mkataba wa uendashaji bandari sasa! Unauliza kwanini umepelekwa bungeni? Utawala wa Samia ni wa ukweli na uwazi hapendi mambo ya gizani so kumbe nyie hamkupenda uje bungeni?
 
Mbongo ukimpa kanafasi kidogo tu ni mwendo wa kuiba vibaya mno, pale bandarini kuna mianya mingi sana ya upigaji wacha wawekezaji wafanye kazi yao tuone ufanisi wao ukoje kulinganisha na hawa wabongo nafikir tutapata majibu soon watapoanza kuopareti.
Unaxungumzia kuona ufanisi wao vip kama ufanisi wao utakuwa mbovu kuliko wabongo na wew ume ingia nao mkataba mrefu utasuburi ujute?

Usifanye kujaribu unatakiwa kuamua kwa pamoja

Hofu za wengi ni Muda wa mkataba

Pili kwann wapewe Bandari zote Majin na nchi kavu?
Maziwa na bahari paka mito mana wanasema ikiwa zitatokea fulsa wata juliswa hii Ina mana gani?

Shida sio DPW shida mkataba
 
Watu wengi hawajui ukweli wao ni ushabiki tuu, na ndio maana hata Rostam Azizi, Godless Lema, General Ulimwengu, Sheikh Ponda, Padre Kitima na wengine wengi tuu, katika mkutano pale SERENA alitutahadharisha kuwa tujadili kwa hoja wala sio ushabiki kwani maendeleo hayachagui Chama, Dini wa Ukabila.
Mkuu "watake wasitake" hili la Bandari lazima DP World waje na walete ufanisi ili Serikali iweze kupata mapato hakuna haya ya kubembelezana kwenye issues zenye maslahi mapana kwa nchi.
Shkamoo
 
Wameshindwa kwasababu wezi ni wengi sana, Magufuli alijitahidi kwa kiasi chake lakini alishindwa
Huko ni kushindwa kuongoza,,juzi kuna mdau alisema kama wizi ndo umetupelekea kuingia huo mkataba usio na ukomo,,basi hata wizara na halmashauri tuwape maana nako kuna wizi,,Serikali ijitathmini hoja ya wizi ni ya kitoto wapambane na huo wizi,,
 
KAMA UWEKEZAJI NA UUZWAJI WA BANDARI NI KUTOKANA NA UWIZI.
BASI USISAHAU UWIZI UKO SEKTA ZOTE TANZANIA.
KWAMBA VYEMA TUKAWAPA WEUPE, IDARA, WIZARA NA IKULU WATUSIMAMIE KWA MUDA ANGALAU MIAKA 50 HIVI.
 
Slylogist: ukweli ni kwamba hao wafanyakazi karibia wote wa bandari ya Dar es Salaam watapata kupunguzwa kazi na hawatakiwi kabisa hata kuonekana maeneo hayo kwani wao ndi chanzo KIKUU cha Tatizo.

Wajiandae tuu kufungasha virago nao wakalime au kufanya biashara kama wataweza walitutesa sana sisi wadau na wafanyabiashara.
Mnapokuwa mnatetea hoja ya hawa DP,mnasema hawachukui bandari zote kama ilivyoandikwa kwenye mkataba.zaidi pia mnasema hata hapo hapo bandari ya Dar,mnasema wanachukua gati walizokuwa nazo TICTS,na TPA wanabaki na shughuli zao walizokuwa nazo.

Gafla tena mnasema wafanyakazi wa bandari wataachishwa kazi,mbona kwa hizo gati walizokuwa nazo TICTS,wafanyakazi wa bandarini hawakufukuzwa?

Mnajichanganya sana kwenye utetezi wenu huu,kila mmoja anakuja na lake
 
uk
Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini.

Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati mapato sahihi ya bandari hiyo kwani fedha hizo zimekuwa zikidhulumiwa tangu kipindi cha Mwl Nyerere na hata alipokuja Dr Magufuli wizi huu ulimkera sana na kujaribu kuchukua hatua ambazo hazikuzaa matunda.

Watanzania tujitoe boliti kwenye macho yetu ndipo tumnyooshee kidole raisi Samia Suluhu Hassan pamoja na Serikali kwa uamuzi waliochukua.

Watanzania tujiulize je tumekuwa tukipeleka mapato sahihi serikalini kama tulivyopaswa kufanya? Je hatukuwa tukidhulumu wateja wanaoagiza mizigo kupitia bandari hiyo? Lengo la Serikali kuleta wawekezaji DP World ni kupata mapato makubwa kwasababu ya uendeshaji wao mzuri wa bandari usiokuwa na hujuma.

Kama kusingekuwa na wizi na ubadhilifu unaofanyika bandarini basi Serikali isingewakumbuka wawekezaji wa nje ya nchi.

Watanzania tujifunze kuacha hujuma kupitia uamuzi huu wa DP World kwenye mali za Serikali kwasababu kadiri itakavyozidi kukosa mapato sahihi ndipo itazidi kualika wawekezaji kutoka nje ya nchi yetu ili wasimamie kwa haki.

Reference: uk

Nimekuelewa mkuu, kama uhalisia upo hivi mkataba wa DP-WORLD na Tanzania upo sahihi, nina mashaka hawa wanaoupinga wote wezi hapo bandari.
 
Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini.

Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati mapato sahihi ya bandari hiyo kwani fedha hizo zimekuwa zikidhulumiwa tangu kipindi cha Mwl Nyerere na hata alipokuja Dr Magufuli wizi huu ulimkera sana na kujaribu kuchukua hatua ambazo hazikuzaa matunda.

Watanzania tujitoe boliti kwenye macho yetu ndipo tumnyooshee kidole raisi Samia Suluhu Hassan pamoja na Serikali kwa uamuzi waliochukua.

Watanzania tujiulize je tumekuwa tukipeleka mapato sahihi serikalini kama tulivyopaswa kufanya? Je hatukuwa tukidhulumu wateja wanaoagiza mizigo kupitia bandari hiyo? Lengo la Serikali kuleta wawekezaji DP World ni kupata mapato makubwa kwasababu ya uendeshaji wao mzuri wa bandari usiokuwa na hujuma.

Kama kusingekuwa na wizi na ubadhilifu unaofanyika bandarini basi Serikali isingewakumbuka wawekezaji wa nje ya nchi.

Watanzania tujifunze kuacha hujuma kupitia uamuzi huu wa DP World kwenye mali za Serikali kwasababu kadiri itakavyozidi kukosa mapato sahihi ndipo itazidi kualika wawekezaji kutoka nje ya nchi yetu ili wasimamie kwa haki.

Reference:
Kwahyo we unafikiri anae iba huko bandarini ni mkulima wa kawaida au ni hao hao wanao lalamika, kiufupi wanaolakamika ndo haohao wanatuhujumu
 
Huo ni mkataba wa awali yaani memorandum of association so unaelezea mambo Kwa juu tu kuwa tunakubaliana kufanya shughuli za bandari basi, then inakuja sasa articles of association ambayo sasa itaeleza haki za Wanahisa, kazi na wajibu we board ya wakuregenzi, mgawanyo wa hisa na kadha wa kadha
Hiv unaelewe kitu kinachotakiwa kijadiliwe bungen nini mkuu au unaongea tu. Au hukumsikia spika
 
Kiongozi Kitali! Wabunge wako kwani wewe huwaamini! Mkuu achana na ushabiki wa social media!
Bro mimi sio mshabiki Chief na Mimi cna shida na wawekezaji nina shida na terms na condition za huo mkataba tu. Lakin pia shida ya bandari yetu sio kushindwa kukusanya hela ni kuingiliwa na serikali.
 
Wewe mchaga kuiba ni dhambi, pia hakutakuwa na mijekedi. Kwani kipimo cha utendaji kwa kila mfanyakazi ni performance target. Sasa kuliko hizo pesa unazotegenea wafanyakazi wa bandari waibe ndio ziwe kwenye mzunguko huo ni uchumi yabisi.

Kwa kuwa serekali itapata mapato makuwa tutaweza kuboresha hudumu za jamii, miondombinu ili kukuza uchumi wa kila mtanzania kwa mapana yake.

Kwa hiyo nakutoa wasiwasi wewe mchaga usiwe na hofu na ndio maana baada ya Serikali kubinafshisha kiwanda cha Bia TBL ufanisi umeongezeka na faida kibao.

Mfano mzuri ni juzi Benki ya NMB zamani iliitwa Benki ya makabwela. Baada ya uwekejaji wa mholanzi wameweza kutoa gawio kwa Serikali Tsh 45.1 B.

Sasa pata picha je bandari watatoa ngapi!@@!!!!
"Mtake msitake Ni lazima DP world wachukue hizi Bandari"
Usifananishe nchi na kiwanda watu hawapingi hayo watu wanapinga mkataba
 
Kambiko naomba nikujibu kwa umakini kama ifuatavyo nikiwa kama mdau wa maendeleo na mzalendo:

1. Kwanza tambua kuwa DP World wameshaingia Mkataba.

2. Mkataba tayari bunge limeshaupitisha kwa 100%.

3. Hivyo vipengele wewe unataka vibadilishiwe wapi! Kwani wabunge 400 hawakuviona!

4. Nakuomba wewe uainishe ni vipengele gani na unataka vifanyiwe marekebisho yapi ili mimi na wewe tuandike hoja zetu tukutane na kupeleka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Mwisho: Mtake msitake ni lazima DP World iendeshe bandari
Sawa mkataba umepita ila wakisha kuja hapa tanganyika wakakuta kila kitu wanasimamia wao watakimbia kwa woga na hofu kwani shujaa ajae kazi yake ya kwanza itakuwa kumtoa dp world
 
Back
Top Bottom