Tunawataka DP World ila sio kwa mkataba huu mbona hamsikii lakin achen kuruka ruka kama maharage jikon. Kuna maslah gan kwako kutetea wao kupewa chini ya mkataba huu.
Acha Unafiki Serikali Ni Nani?Na Inawaogopa Kina Nani.Serikali inateseka sana mpaka inachukua huu uamuzi lengo ipate mapato makubwa lakini kila inapofumua utendaji wa pale bandarini basi wanakuja wafanyakazi wengine wenye tabia hiyo ya ubadhilifu. Imani yetu kwa mali za uma imepotea kabisa, Serikali inatuogopa
Tizama kwa kina video iliyoambatanishwa, hii ndiyo sababu kubwa ya Serikali kuchukua uamuzi huu.Tunawataka DP World ila sio kwa mkataba huu mbona hamsikii lakin achen kuruka ruka kama maharage jikon. Kuna maslah gan kwako kutetea wao kupewa chini ya mkataba huu.
Harakati za katiba mpya ni jambo gumu sana duniani kwasababu lipo kinyume na Serikali ndio maana halifanikiwiAcha Unafiki Serikali Ni Nani?Na Inawaogopa Kina Nani.
Unataka Kutuaminisha Kuwa Serikali Ni Nje Ya Chama Cha Mapinduzi? Mnataka Kubinafsisha Ili Pesa Iende Kwa Kikundi Kidogo Kuliko Sasa Wanavyokula Wengi.
CCM Kwa Ujumla Ndiyo Shina La Wizi Wote wa Raslimali Za Nchi Yetu.
Kama Kweli Mnaipenda Nchi Hii Kuweni Tayari Kutunga Sheria Ambazo Zinaanza Kumbana Rais Katika Maamuzi Na Utendaji Wake.
Ondoeni Kinga Kwa Viongozi Walioshika Nyazifa Za Miimili Mikubwa Kama Bunge Na Nyinginezo. Sheria Hizo Hizo Zishuke Mpk Kwa Wafanyakazi Wote Wa Serikali.
CCM Ndiyo Mufilisi Ya Hili Taifa.Wewe mrembo ccm imetokea wapi tena. Hapa mjadala ni wa serikali wala sio vyama dadake
Wezi wanapokuwa wengi sana ni vigumu kuwakabiliCCM Ndiyo Mufilisi Ya Hili Taifa.
Hao Wezi Unaosema Wapo Bandarini Wote Ni Makada Wa CCM Na Wanalindwa Na Hiyo CCM.
Ukiona Chama Kinalinda Wezi .Hakifai Tena Kuongoza.
Yaani Serikali Inajua Wezi Ni Nani Na Walipo Ni Wapi Lkn Inabaki Inalalama .Kama Mbwa Asiyekuwa Na Meno.
Alilala nao mbele.Tizama kwa kina Video iliyoambatanishwa
Kama tumeshindwa kuwadhibiti tunaoongea nao lugha moja hao tunaoongea lugha tofauti tutawamudu?Watanzania tujiulize je tumekuwa tukipeleka mapato sahihi serikalini kama tulivyopaswa kufanya? Je hatukuwa tukidhulumu wateja wanaoagiza mizigo kupitia bandari hiyo? Le
Naweza kusema wewe Siyo Mzalendo.Kambiko: hii hoja yako ni nzuri sana ila sio katika kipindi hichi cha uwekezaji. Hiyo mahala pake ni kwenye jukwaa la katiba. Au unataka kwenye huu mkataba na DP World tuweke hilo la kutokuwa na kinga! Itakuwa kituko mkuu.
Unataka tuipe dpw kwa mkataba huu au nawe ni mmoja wa wanaotaka baadhi ya vipengele vibadilishwe kama wananchi wengi wanavyotaka.
JIBU KWANZA HILI. ILI TUJUE MSIMAMO WAKO NA TUJUE TUNAONGEA NA MTANZANIA WA AINA GANI?.
Wapewe nafasi ili tujue kasoro zetuMbongo ukimpa kanafasi kidogo tu ni mwendo wa kuiba vibaya mno, pale bandarini kuna mianya mingi sana ya upigaji wacha wawekezaji wafanye kazi yao tuone ufanisi wao ukoje kulinganisha na hawa wabongo nafikir tutapata majibu soon watapoanza kuopareti.
Mbongo ukimpa kanafasi kidogo tu ni mwendo wa kuiba vibaya mno, pale bandarini kuna mianya mingi sana ya upigaji wacha wawekezaji wafanye kazi yao tuone ufanisi wao ukoje kulinganisha na hawa wabongo nafikir tutapata majibu soon watapoanza kuopareti.
Ndugu Nataka Useme Sasa katika Hadhira hii kuwa Mkataba Huu Hauna Shida yeyote.Kambiko naomba nikujibu kwa umakini kama ifuatavyo nikiwa kama mdau wa maendeleo na mzalendo:
1. Kwanza tambua kuwa DP World wameshaingia Mkataba.
.
Ndugu Nataka Useme Sasa katika Hadhira Hii Kuwa Mkataba Huu Hauna Shida Yeyote .
Hii Itakuwa Ushahidi Wa Wazi Kwa Hadhira Hii Na Mbele Za Mwenyezi Mungu.