Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

Nchi hii ya ovyo sana,hata mama nae kaingia mkumbo huo huo,watu wamekula millioni 600kwa vikao vya bodi!harafu wanaendelea kupewa madaraka
 
Hii serikali watu wanaiba hawawajibishwi ndio maana wizi hauishi
Wanalipwa pesa nyingii lakin bado wanaiba
 
Zile hukumu tunazoziona wanapewa watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya inabidi sasa nayo wapewe hawa wanaopiga hela za serikali labda itasaidia
Kupunguza upigaji maana naona kama watu hawaogopi!
Inabidi mama SSH afanye hivyo

Ova
 
Itapendeza Sana, wanasiasa wameifilisi nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…