Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

Vita ya uhujumu uchumi wakati Sokoine ilikuwa awamu ya ngapi? Labda ulikuwa bado hujazaliwa!
Uhujumu uchumi ulikuwa ni mgongano wa kinadharia zaidi haukua upigaji

Siasa ya Ujamaa ilikiwa hairuhusu kujilimbikizia mali hata kama ni ya halali
 
Wanamtafutia natural death Huyo madelu kwenye uongozi,hiyo nafasi ni kubwa kuliko uwezo wake.
Kama ni hivyo, ni uamuzi wa hovyo kabisa. Utaifanyaje wizara nyeti kuwa ya majaribio. Ile wizara imehodhi Uchumi wa nchi, haikupaswa kuwa ya kumuandaa au kumuangamiza mtu kisiasa.
 
Kama ni hivyo, ni uamuzi wa hovyo kabisa. Utaifanyaje wizara nyeti kuwa ya majaribio. Ile wizara imehodhi Uchumi wa nchi, haikupaswa kuwa ya kumuandaa au kumuangamiza mtu kisiasa.
Muda ndo utasema.

Anaweza akafanya maajabu,ni dokta Wa uchumi.
 
Uhujumu uchumi ulikuwa ni mgongano wa kinadharia zaidi haukua upigaji

Siasa ya Ujamaa ilikiwa hairuhusu kujilimbikizia mali hata kama ni ya halali
Hizi siasa zilikuwa nzuri ila hakukuwa na usimamizi mzuri
 
Kama uchunguzi huru utafanyika ukweli waweza kubainika, inasemekana yule Waziri kijana aliyekuwa akisifiwa kwa uchapaji kazi ndiye alikuwa ankwenda kwenye Halimashauri kuchota fedha/payback kupitia kwa maDED
Asingebadilishwa wizara, bora wampumzishe
 
Wamesaidia nini sasa?
Wanyiramba hawana lolote, huwa ni watu wa kuridhika mapema Sana, unaambiwa Mwigulu ukitokea mradi mkubwa ukaletwa Iramba anauliza kina nani wapo nyuma? Akihisi ni msomi fulani wa Iramba anauhujumu usifanikiwe akihofia ataporomoshwa kisiasa.
 
Ndiyo maana Singida na Dom wamejaa masikinni wengi sn
 
Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini.

Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400 zimefujwa katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda. Aliilamu Ofisi ya DC na DED kwa wizi huo. Waziri Mkuu aliahidi hatua kuchukuliwa lakini hatua hizo hazijachukuliwa hadi leo April 2021.

Kuna tetesi kuwa Majaliwa sio mamlaka ya teuzi na tenguzi kwa viongozi hao na hakusikilizwa.

Jeje nini hatma ya fedha hizi za umma? Je, vituo vya Afya Ndago na Kinampanda vitaletewa hela nyingine?

Je, DC na DED Iramba walilindwa na nani?
HAwa kama Dr. Mwigulu angekuwa hajahusika mngesikia wanaozea ndani!
 
Back
Top Bottom