Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

Siku ya eid ndiyo wengi wanaibiwaga viatu,,,na wengine wanavaa vyako wanakuachia ndala zilizochoka.

aani mtu unaswali unapiga jicho kwenye viatu,watu wezi
Mimi huo umasikini uniue tu! Mtu unaibaje kitu msikitini jamani? Mtu amekuja kuswali wewe unamuibia kama sio ushetani ni nini?

Mimi niliibiwa viatu vyangu vizuriiii kwenye Maulid nilikuwa darasa la 3/4. Hadi leo nimekoma kuvaa viatu vizuri msikitini, Eid nitavaa nguo zangu nzuri na ndala sina habari.
 
Pole sana, wahuni waliiba viatu vya sikukuu. Hawafai kabisa.

Ova
 
Wewe zuzu kweli yaani wezi huwa wanakuuliza wewe ni dini gani kabla ya kukuibia?Ukiwajibu na wakijua kwamba mpo dini moja hawakuibii!
Mwizi hana cha dini.
we ni zumbukuku kweli, mtu from no where afike msikitini kuiba kobazi! Huoni kuwa ni miongoni mwa waumini wa dini hiyo? Acha ujinga, wezi ni hao hao waumini
 
we ni zumbukuku kweli, mtu from no where afike msikitini kuiba kobazi! Huoni kuwa ni miongoni mwa waumini wa dini hiyo? Acha ujinga, wezi ni hao hao waumini
Viatu vinawekwa nje wewe huingii navyo msikitini so kila mtu wa dini yeyote anaweza kuiba.Huwezi ku assume tu kwamba aliyeiba ni wa dini fulani.Ukiwa unatumia ubongo kufikiri ungelielewa hilo.Hata mtoto mdogo anaweza kulielewa hilo.Au taa tu zimewaka na wapangaji hamna?
 
Mwizi hana dini, hana alama. Aweza kuwa mwislam, mkristo. Niliibiwa baiskeli yangu, mountain bike mpya kanisani nilipoenda kusali.
Acha kutunga stori, mbona hukuwahi kulalamika mpaka leo umeona uzi wa masjidi ndo unakurupuka na story ya kutunga ili kubalance mzani!!!???
 
Back
Top Bottom