Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

Nadhani wanatakiwa kuswali nyumbani Kwa sababu hawatakiwi kuvaa chupi wakati wa kuswali.

Sasa na wanawake wa siku hizi hiyo mizigo bila chupi huko misikitini itakuwa tafrani tupu.
comment imenipa hamu ya kumzagamua huyu bibie hapa pembeni baada tu ya kuisoma
ndugu zetu wasukuma wanasema wabeja mwanawane
 
Kwanini kuibiana viatu katika msikiti?
Hii tabia ikomeshweeeee

Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi?

Tazama video chini
View attachment 2891743
Kwanini kuna msikiti? Hivi nyumba ya Mungu ni nini? Kuaminiana kuaminiwa, kuthamiana kama binadamu, uadilifu, uaminifu, ukweli.

Kama kweli mtu anaiba viatu elfu 35 inaamanisha ni maskini hasa atauza kwa elfu tano, saba. Kisa Njaa, ajira, thamani na nafasi kama binadamu.

Ukitengeneza hayo inakuwaje?
 
Kwahiyo by the time wenzie wanasali yeye anakuwa nje!!!???
Mjumbe wewe unapolala usingizi mlinzi si anakuwa getini anafanya kazi yake.
Akiwa off analala naye.
Hivyo hivyo ataswali akiwa off time.

Au sio Mjumbe?
 
Enzi zetu tulikuwa tunaogopa nyumba za ibada kama kota za polisi hupiti hovyo hovyo hapo. Kujamba tu ilikuwa shughuli pevu unabana ushuzi ukajambie nje. Tuliamini hizo nyumba za ibada mungu yumo ndani yake ukifanya makosa utaadhibiwa hapohapo

Sijui nini kimebadili hii kitu yani nyumba za dini hazina heshima tena hata kanisani tena walokole unaona mtu mzinzi mleviii ni kiongozi madhabahuni haogopi Mungu yupo wala haoni haya mbele za watu
 
Dawa ni malapa
1679401987061.jpg
 
Back
Top Bottom