Utakuja kunielewa siku za usoni, Puma sikanyagi! Nilishawatumiaga nikiwa mkoani gari inakuwa nzito na miss miss za ajabu. Tena kipindi cha mgomo wa bei ya mafuta ule. Huwa nawekaga Total tu nikibadili ni Lake Oil!Sio kweli kaka labda unaziamini kwa kuwa hazina wizi.ila kwa ubora wa mafuta na kuifanya engine yako idumu ni vituo viwili tu. Kwanza kabisa PUMA ukiikosa puma basi nenda TOTAL
Tatizo la kidumu kaka unakuwa unarisk maisha yako lakini pia huwezi kuwa na chombo cha moto halafu ukafika kituo cha mafuta ukashuka na kidumu wakati tank lipo na linafunguka! Hii mbinu ni nzuri sana kama upo kwenye dharula.Mkuu sisi haya maswahibu hayatukuti, sisi wazee wa vidumu!! Yaani wese la buku kumi haibi hata mia...anaanzaje kwanza!!
Kuna namna wanaitegesha haifiki mwisho na kuruhusu kutoa risiti, wale binadamu wa mbinu sana, nami nilidhani nawasingizia ila nimekuja kugundua wameshagundua kuwa kuna namna ule mkonga ukiutegesha bila kuufikisha mwisho basi haita-clear zile digits pale kwenye meter reading na risiti haitoki.
Hiko kituo si kipya na raia wanapenda sana jioni pale kujazia weseNilishawahi kupigwa Simba Oil ilioko kwenye junction ya kwenda kambini na njia ya kwenda maji chumvi! Wizi wa kipumbavu sana.
Alinipiga buku 6 na ilikuwa naweka mafuta nikalaze gari mi huwa silazi gari bila kuweka mafuta ya kulalia.[emoji16]! Gauge huwa inatick after 1.5-2 Km ukiona haijatick jua mafuta hayajaingia.
TOTAL wizi upo na saingine ni pampu flani specific inakuwa inaiba nahisi wameiseti iibe!Kaka mimi nakwambia wizi huu umenitokea TOTAL
Si kidumu physical kaka; yaani unaweka mafuta ya buku kumi kumi - akishaona una buku kumi hagusi....weeeTatizo la kidumu kaka unakuwa unarisk maisha yako lakini pia huwezi kuwa na chombo cha moto halafu ukafika kituo cha mafuta ukashuka na kidumu wakati tank lipo na linafunguka! Hii mbinu ni nzuri sana kama upo kwenye dharula.
Ndio ila nimegundua kuna janja janja ya wizi wa kishamba. Mi gari yangu nikiongeza mafuta lazma gauge istuke isipostuka najua kabisa nimepigwa na kweli kesho yake gari ilinizimikia njiani.Hiko kituo si kipya na raia wanapenda sana jioni pale kujazia wese
Kwa hesabu za haraka haraka ni kwamba: anaibiwa mwenye kituo cha mafuta kwa sbb yale mafuta yameuzwa bila mashine ya risiti kurekodi, pia anaibiwa mwenye chombo anaewekewa mafuta maana analipia mafuta ambayo hakuwekewa! Hii kwa kifupi inaitwa DOUBLE IMPACT!Sasa hapa anaibiwa tajiri mwenye sheli au tajiri mwenye gari au wote kwa pamoja?
Nijuavyo, EFD mashine isipotoa risiti maana yake hesabu haiingii yaani kwenye mfumo huwezi kuona kiasi Cha mafuta kilichotoka
Hivi ni Umeandika bila kujua unachoandika na sijui hujui kweli au unafanya makusudi kupotosha ili uchangamshe jukwaa..
Wizi unaosema haupo na hakuna namna yoyote uneweza ukaibiwa Kwa staili hiyo uliyoileta .mkono wa pampu ukirudishwa kwenye mashine wakati wa kutoa unaanza zero mpaka bei uliyoset au utakapoishia
Kuibiwa ni kama ataendelea kupima bila kurudishwa mkono kwenye mashine tena ikiwa mwanzoni hakuset bei wakati anampimia mteja wa kwanza
Tatizo ni kucheza na budget, mimi TVS yangu huwa najua nikiweka mafuta ya elfu 30 natumia wiki 2, sasa nikisema niweke nusu nusu nakuwa najitega mwenyewe, halafu nina imani kuwa tank ukilijaza mafuta ya kutosha unatunza pump, unalitunza tank lenyewe, unaboresha matumizi ya mafuta na performance ya chombo pia.Si kidumu physical kaka; yaani unaweka mafuta ya buku kumi kumi - akishaona una buku kumi hagusi....weee
Nyie mnaoweka full tank lazima aamzie na 20,000 - maisha magumu afanyaje sasa na yeye ana familia.
Kwa hesabu za haraka haraka ni kwamba: anaibiwa mwenye kituo cha mafuta kwa sbb yale mafuta yameuzwa bila mashine ya risiti kurekodi, pia anaibiwa mwenye chombo anaewekewa mafuta maana analipia mafuta ambayo hakuwekewa! Hii kwa kifupi inaitwa DOUBLE IMPACT!
Pole sana mkuu. Si unaongelea kituo hiki ambacho kipo hapa kwenye kona kushoto kama unakuja mabibo jeshini?Nilishawahi kupigwa Simba Oil ilioko kwenye junction ya kwenda kambini na njia ya kwenda maji chumvi! Wizi wa kipumbavu sana.
Alinipiga buku 6 na ilikuwa naweka mafuta nikalaze gari mi huwa silazi gari bila kuweka mafuta ya kulalia.π! Gauge huwa inatick after 1.5-2 Km ukiona haijatick jua mafuta hayajaingia.
Mimi huwa naumia sana roho nikigundua haya ya uharibifu.Shukrani umenifumbua macho sana. Kweli mbongo hajui kuanzisha bali anajua kuharibu.
Ela inasakwa aisee π
Yaani ndio hivyo hivyo, na sijui ni nani aliebuni mbinu ya kuweka hawa wahudumu wa jinsi ya kike, maana akijichekesha tu unamsamehe, mimi nimeshikwa sana na hasira asubuhi, nikatamani kumpa walau kelbu mbili aamke, nikawaza jela, nikakumbuka familia yangu nikajikuta narudisha moyo nyuma!jana mbichii... nimeenda petro station. nikamwambia weka elfu 30, basi akaclear number akaandika 3,000... nikamwangalia tu akachomeka mpira wake mafuta yakaanza kutoka akajifanya bize akazunguka upande wa pili... mashine imeshakata yeye anajifanya bize.... akaenda funga kifunik akatoa risiti akaniletea, nikampa 30,000 akapokea na kuniambia karibu tena... akashangaa siondoki nikamwambia bado mafuta yangu hayajakamilika umeweka ya elf tatu.... bila hata kuangalia akajifanya kujichangamsha eti samahani daaa kumbe nimeandika elfu tatu.... dah... nina mawazo.... akakuta nimekunja uso namwangalia tu.... nikafungua tank akaandika 27,000 akajaza yaliyobaki..... nikaondoka bado anajichekesha mie simjibu kitu. Huu ni wizi kuweni waangalifu.
Sijui kama ndio hapo ila ni kituo kipya kipya. Huku njia inayotoka External kuelekea maji ChumviPole sana mkuu. Si unaongelea kituo hiki ambacho kipo hapa kwenye kona kushoto kama unakuja mabibo jeshini?
Mimi huwa naumia sana roho nikigundua haya ya uharibifu.
Najiuliza sana maswali yasiyo na majibu: Hivi akili hizo wanazotumia hawa vibaka kuturudisha nyuma kwanini wasizitumie katika ubunifu wa mambo yenye kunufaisha jamii?!
Ndio hao haoSijui kama ndio hapo ila ni kituo kipya kipya. Huku njia inayotoka External kuelekea maji Chumvi
Hii kipigo chake ni cha Mbwa koko πππ usingeona yangekukuta ya Vocha za Voda πππjana mbichii... nimeenda petro station. nikamwambia weka elfu 30, basi akaclear number akaandika 3,000... nikamwangalia tu akachomeka mpira wake mafuta yakaanza kutoka akajifanya bize akazunguka upande wa pili... mashine imeshakata yeye anajifanya bize.... akaenda funga kifunik akatoa risiti akaniletea, nikampa 30,000 akapokea na kuniambia karibu tena... akashangaa siondoki nikamwambia bado mafuta yangu hayajakamilika umeweka ya elf tatu.... bila hata kuangalia akajifanya kujichangamsha eti samahani daaa kumbe nimeandika elfu tatu.... dah... nina mawazo.... akakuta nimekunja uso namwangalia tu.... nikafungua tank akaandika 27,000 akajaza yaliyobaki..... nikaondoka bado anajichekesha mie simjibu kitu. Huu ni wizi kuweni waangalifu.