Wizkid afanya bonge la show Uingereza

Nakumbuka 2017-2018 revival ya davido, but this is different
Mind you wiz na davido wana over a decade sasa na kizazi kipya kinakuja kwa kasi, ndio wana wind up hivo na ameshajulikana mwenye kipaji ni yupi.
alfu kidayo kwann hatumii nguvu. i wonder😀
 

Wewe ni jinsia gani ningependa kufahamu
Hacha maswali ya kitoto mkuu kuna mwanaume analowana?
 
Uko vzr Dada![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Huyu jamaa nae si kashikwa MKONO na Sadala, still bado anakimbiza na huyu mwamba soko la Ulaya na US kalishika sana mwaka huu, kuifikia records ya nyimbo ya Essence swala dogo.

NB:Ogopa sana mawazo ya kijinga yanayo ongozwa na chuki.
Wiz kashikwa mkono na sadala? Ama sio wiz mnaija pengine unasemea wiz mbongo
 
Sio kwamba wasanii wetu watashindwa kujaza huko kwenye maukumbi makubwa wenzetu wana diaspora wengi sana tofauti na sisi lakin kingine pia wap vizuri kwenye live performance ukilipia show Kama ya burn boy huwezi jutia kiingilio chak
Live performance ya wabongo kuchoshana tu, mtu ulipie kupata burdani cha kushangaza msanii anapanda jukwaani anataka anakuanzishia wimbo shabiki umsaidie kuimba muda wooote 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uzi huu umejaa majungu san kwa muziki wetu . Nilichoona wabongo wengi wana wivu sana na Elimu duni.
Umasikini ndio unaotufanya kuwa na robot mbaya za majungu kutokuwasuport wasanii wetu, wanamponda konde boy ila kwa hatua aliyopo amepiga hatua kubwa sana
 
Huyo bwa mdogo anajua sana na yuko anga hizo kitambo tu hanaga makelele. Kuna Tekno pia watu wanamchukulia poa ile nae yuko vizuri sana sema michongo ya mamtoni sio kivilee.
Davido naona kaamua kutulia karidhika,Burna boy soon atamfuata,Peter Square zamani sana kajipiga off anakula matunda tu.
Hao jamaa wana hela ndeefu sana na hamna kelele na zinaingia tena.
Huku kwetu
Utaskia "aga a give my cucumber and you hug mi so had aga eeh ma baby warawara you give me avocadoo oooh wacha weee bebiii ayem your sweet papa +++?
Whats this🙆‍♂️.
Hapo ukute yupo kitumbua yule mmakonde jukwaani utakoma.
 
Wiz kashikwa mkono na sadala? Ama sio wiz mnaija pengine unasemea wiz mbongo
Kwa hiyo akishikwa mbongo nyota inachukuliwa, mnaija nyota inabg'aaa. Tena huyo mwaka juzi baada ya kupiga show akaenda kabisa Madale kumpa 5 Sadala.
 
😂
 
Kwa hiyo akishikwa mbongo nyota inachukuliwa, mnaija nyota inabg'aaa. Tena huyo mwaka juzi baada ya kupiga show akaenda kabisa Madale kumpa 5 Sadala.
Wiz alikuwepo anang'ara toka zamani labda useme kwa bongo wengi walikuwa hawamjui! Ila sio kusema eti sadala kumtangaza kwao na dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…