Wizkid namfahamu tangu 2009, davido 2011, burna boy 2012.
Kibongo bongo davido ni popular kuliko wizkid kwasababu ya ile collab na diamond + nyimbo zake nyingi ni za club scene( makelele coz hana kipaji)
Burna - nampenda ila he’s basic, aina ya mziki anafanya ipo sana Uganda. Sema nigeria ni mainstream na pia I guess ni riziki yake tu coz alipotea sana hadi kuibuka tena 2018
Wizkid - naomba ugoogle accolade zake, ni nyingi na hajitambi unlike davido na burna, hawa wangefanya aliyoyafanya wizkid tusingelala.
I could go on and on all day long...