Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walaini wakiwa mbele ya kamera.Huyu Wolper nilikua namchukulia kama laini-laini, kumbe anaweza akamudu multiple attacks kimtindo, manake mpaka mtoto wa kiume akimbilie silaha ya moto, hali ilikua tete!
Kumbeinamaanisha tarehe 12 June
Puma pale sinza kijiwen waliniibia cku moja'sheli' hapa bongo ni puma, engen na total tu
duh!Puma pale sinza kijiwen waliniibia cku moja
Hahahahahaa ilikua imepungua mafuta? halafu ukafika mbele ikazimika? haahahahahahaaaa haya bhana“Dah, ni kweli nilikutana na matatizo hayo usiku, ambapo nilikuwa naenda Tegeta baada ya kufika njiapanda fulani pale, gari lilipungua mafuta nikaingia kituoni na kuongeza ya elfu 20, wakati naongeza nilihisi kabisa yule dada ananiibia lakini sikumjali, nikalipa na kuondoka.
Nilipofika mbele kidogo tu gari lilizima,”
Mi mwenye kwenye Altezza yangu siwezi kuweka mafuta ya kimasikini hivyo. Mafuta ya 20,000? Not me.
Pole yake ndio maana mimi huwa naweka kwenye kidumu kisha ndio naenda kuweka kwenye gari, siwaamini hao wafanyakazi hata kidogo ni wezi balaa.