Wolper jamani

Wolper jamani

Aya mambo ndo muhimu sana kwa watanzania, [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23]

Asante mungu kuzaliwa hapa
 
Ila Wolper mkali aisee... Mimi kuna mademu watatu hawa wakinipa hata leo pamoja na kwamba wamegawa sana siwezi kuwaacha
1. Wema
2. Wolper
3. Jokate
Sio wewe tu wengi hawawezi kataa
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
Binam kataa bana,muukize hivi ile skendo ya kunuka uchk ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aya mambo ndo muhimu sana kwa watanzania, [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23]

Asante mungu kuzaliwa hapa
Eee kuandamana hamuwezi hakuna wanaume Tanzania
 
Sawaa msalimie swalehe
tapatalk_1523047732356.jpeg
sawa
 
Alivyo cha Pombe utashangaa kaandika hivyo akiwa amekunywa.

Halafu ninachokiona bado anampenda harmo....ajaribu kuendelea na maisha yake... mbona kapita kwa wengi ila kwa harmo ndiyo imekua shida.
Haaahaaa
 
Eee kuandamana hamuwezi hakuna wanaume Tanzania
Hahahah Watoke wapi sasa, kasoro mme wangu tu alikua nje ya nchi[emoji2] [emoji2] [emoji2] angeandamana bwana,

Mijianaume ya skuiz eti inakata viuno adharani, alafu kibaya zaid eti snapchat nayenyewe inJiwekea tumaua twa kichwani na filta juuu, dooooooooo!! Tanzania mbona rahaaaaaaaaa,.!! Wamebakiza kubeba mikoba ati !!!

Mwanaume unavaa skin jinz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume unakula chipsi kavu [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mwanaume hata push up mbili tu hawezi[emoji23] [emoji23]

Mwanaume ananenepa tako[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23]

Mwanaume ana dresiing table[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Nisameheni tu ila nyie wanaume nyie tena waskuiz kwakweli hatuna uhakika kama ni wanaume jamani!!!!
 
Back
Top Bottom