Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahhh wolper jamani akiandik balaaKanidisappoint dada angu. Sasa drama za kazi gani? Kwa bwana yupi sasa yarab?
Sio wewe tu wengi hawawezi kataaIla Wolper mkali aisee... Mimi kuna mademu watatu hawa wakinipa hata leo pamoja na kwamba wamegawa sana siwezi kuwaacha
1. Wema
2. Wolper
3. Jokate
Tunakuomba utupe ubuyuuShoga wa dada angu huyu nafsi itanisutaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna nilikua shuleUnapotea sana au ndio umeenda kujifunza kuprint nyumba kwa nabii bushiri
Hata kama kuna Ma Celebrity wa kuwajadili lkn sio hawa Makahaba walioshindikanaSoma hili jukwaa linaitwaje
Binam kataa bana,muukize hivi ile skendo ya kunuka uchk ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
Point of correction: kaandikiwatrust me hizo status wolper kaandika kwa hisia na imemuuma sana na i bet alilia kwa hasira.
Eee kuandamana hamuwezi hakuna wanaume TanzaniaAya mambo ndo muhimu sana kwa watanzania, [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23]
Asante mungu kuzaliwa hapa
Sawaa msalimie swaleheHamna nilikua shule
Yani mzuri wa sura tu ila brain yake kama mtoto wa viduduHahahahahhh wolper jamani akiandik balaa
Ubuyu huu unamaliza bundle shoTunakuomba utupe ubuyuu
Sawaa msalimie swalehe
HaaahaaaAlivyo cha Pombe utashangaa kaandika hivyo akiwa amekunywa.
Halafu ninachokiona bado anampenda harmo....ajaribu kuendelea na maisha yake... mbona kapita kwa wengi ila kwa harmo ndiyo imekua shida.
Hakuna anaandikaga hivyo hivyo tena akiandika gazeti unaweza dhani mwanao kaandika palePoint of correction: kaandikiwa
Niliona interview ya mzungu wa hamo jamani jamanii angekataa kwank lazima ana mdomo mzitooYani mzuri wa sura tu ila brain yake kama mtoto wa vidudu
Truetrust me hizo status wolper kaandika kwa hisia na imemuuma sana na i bet alilia kwa hasira.
Jamaniii mzungu etiAna mdomo kama shavi za K
Hahahah Watoke wapi sasa, kasoro mme wangu tu alikua nje ya nchi[emoji2] [emoji2] [emoji2] angeandamana bwana,Eee kuandamana hamuwezi hakuna wanaume Tanzania